Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,181
- 166,178
Uko wapi wewe binti nyama choma??si bora kammega ma mkwe?ulitaka ammege mkeo?
Uko wapi wewe binti nyama choma??si bora kammega ma mkwe?ulitaka ammege mkeo?
Hilo nalo neno excell......ila sio mbaya....umri unaruhusu...kat yao....acha wakumbushe enzi wale vyaoo
Kwa hiyo unahitaji ushauri gani hapa? Au umeleta JF kwa taarifa tu.
Kwa hiyo unahitaji ushauri gani hapa? Au umeleta JF kwa taarifa tu.
Jibu swali hiyo avatar ndiyo sura yako halisi watu waanze kuku-PMthenkyu dia
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake. Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu. Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
Sijaona shida hapo kwa kweli wacha wajipe raha
Kwani Baba Mkwe wako yuko wapi?
Sasa bwana mdogo mbona unanidhalilisha. Aaah
Kama sisi waarabu kiulainiii, dada, mamkwe, shem. Halal tu
umenikumbusha tamhiliya ya mfalme edipode