Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Aliitwa Kongolu MobutuNjaa yake itamponza, amuulize mtoto wa marehemu mobutu seseseko alikuwa anaogopwa Zaire yote siku baba yake alipopinduliwa aliiona barabara ya vumbi ziwani.

musiba ni kirusi kikali katika jamiiUnaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Huyo naye ni delicious achana naye atakuvurugaSijakuelewa mkuu, ongea kiswahili chenye heshima labda nitakuelewa.
Jina lenyewe Msiba, nafikiri mahali pake anapokaa unapafahamu
Haya madesa sikuwah yaona mkiyaelekeza kwa anayesema nchi inaongozwa na washamba, Yule aliyesema Tz inaongozwa na Rais wa ovyo na ana mambo ya kijinga. Sijawahi ona ukimkemea Mange, Ngurumo, Chahali na wale wote wanaomtukana Rais humu. Kwamba kuna kundi na watu flani ni halali kutukana na kukashifu viongoz ila wengine ni kuchochea machafuko mara wanajipendekeza nk.Tuache UNAFKI.Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Nani huyo alikamatwa?Ina maana hujui Musiba anatumwa na nani? Kama wengine wakiongea kama yeye wanakamatwa na vyombo vya dola kwa maagizo toka juu, iweje yeye hakamatwi?
Musiba anataka ukuu wa wilaya uyo hana loloteUnaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
hasa ikichanganyika na shule za kuunga unga na kudesa
Wewe unafikir ni jukumu la nani kuripoti polisi au sehem husika pale gazeti linapokuwa limeenda kinyume na maadili?Magazeti mengi yamefungiwa na wahariri wengi wameitwa vituo vya polisi kudhibitisha wanachoandika. Yeye anaandika kichina kwamba hao polisi wanaoita wengine hawamuoni?
Unaposema tumeanza kugeukana unakuwa unaongea kama vile unanijua mimi kwa ukaribu na unamjua huyo kaka. Kitu ambacho sio sahihi kukisema.
Tunamrudisha kwenye mstari tukimkumbusha maadili maana yake ni nini.
Wewe kumchukia au kumpenda JPM sio kitu muhimu, kama wapo milioni nane na zaidi wanaomkubali, who are you nkuwi?.
Hahaha nyumbu ni wabinafsi hadi kwenye kutukana.Mlizoea kutukana peke yenu sasa Msiba kawabana hampumui!!!!! Kaka Msiba endelea kubana mbavu ulipo ndo mahali penyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wengine wanaoitwa na polisi nani alienda kuwashitaki?Wewe unafikir ni jukumu la nani kuripoti polisi au sehem husika pale gazeti linapokuwa limeenda kinyume na maadili?
Sent using Jamii Forums mobile app