MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,562
Basi mtulie kama mnajua Membe sio msafiMembe sio msafi wa kumshitaki yoyote. Huyo anayemtuma misiba anaweza kutumia nafasi yake kufukua makaburi
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mtulie kama mnajua Membe sio msafiMembe sio msafi wa kumshitaki yoyote. Huyo anayemtuma misiba anaweza kutumia nafasi yake kufukua makaburi
Ambaye hakujui atakuwa mgeni hapa jf, malizaneni tu wengine hayatuhusu mmekalia jiwe la moto ngoja liwateketeze.Unaposema tumeanza kugeukana unakuwa unaongea kama vile unanijua mimi kwa ukaribu na unamjua huyo kaka. Kitu ambacho sio sahihi kukisema.
Tunamrudisha kwenye mstari tukimkumbusha maadili maana yake ni nini.
Wewe kumchukia au kumpenda JPM sio kitu muhimu, kama wapo milioni nane na zaidi wanaomkubali, who are you nkuwi?.
Musiba ati ni mchicha mwiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mpaka sasa hajajitokeza kujibu shutuma
Wahusika ndio huenda kuwashtaki. Hata wewe ukiambiwa umefumaniwa na mke wa mtu, serikali haiwez muita musiba athibitishe bila ya wewe kupeleka malalamiko. Ni sawa na humu tu,Ukitukana na mtu akakuripot mods lazima wakupige ban.Hao wengine wanaoitwa na polisi nani alienda kuwashitaki?
Ni dada au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege wanaofanana huruka pamoja. Ila angeda juu Kipingu hafikilii mbinguni.Hahaha nyumbu ni wabinafsi hadi kwenye kutukana.
Musiba endelea kuwabana kende
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahusika ndio huenda kuwashtaki. Hata wewe ukiambiwa umefumaniwa na mke wa mtu, serikali haiwez muita musiba athibitishe bila ya wewe kupeleka malalamiko. Ni sawa na humu tu,Ukitukana na mtu akakuripot mods lazima wakupige ban.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama yeye kwa sasa ni rahisi kupata maana yeye sio wa kwanza kutoa kauli kama hizo jamaa anasaka tonge kwa nguvu
Kwa ushahidi uliopo kuhusu Musiba ni kuwa, ana tabia za kujipendekeza kupita kiasi kwa kujifanya anakulinda na kukutetea kupitia media mbalimbali.
Alijipendekeza kwa JK hadi akalipiwa mahari na kusaidiwa michango ya harusi yake. JK kaondoka hivyo yeye na mbinu zake zilezile anajipenyeza kwa JPM ambapo badala ya kumpamba inavyopasa anamharibia hata kwa aliokuwa wanamuunga mkono.
Hii ni shida na jambo la hatari sana kwa mustakabali wa mshikamano na uzalendo wa taifa. Watu anaoshirikiana nao hao kina mchange hawana historia nzuri uraiani. Ni watu wa vurugu hawajatulia ila wanajificha kwenye pongezi na mapambio juu ya JPM ili waendelee kutii kiu zao! Hii ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa.
Nashangaa kwa sauti, mamlaka zote zimepigwa ganzi na kina musiba kiasi kwamba wamepata uziwi na upofu wa kudumu na haiwezi kumchukulia hatua za kisheria mtu huyu kwa kisa tu cha kumuunga rais mkono! Hii ni aibu katika utendaji kazi na ukweli kuna haja ya kuiwajibisha mamlaka husika kwa kumlinda mtu anayechochea machafuko na mifarakano ndani ya taifa. Waziri wa mawasiliano ni mwanasheria kitaaluma je, ni kweli haoni lolote la uvunjaji wa sheria katika magazeti na kauli za musiba? Kama anamshindwa ajiuzulu basi eeh!
Kakataa juzi kwenye sherehe za mwaka mpya na kuwataka watendaji wa umma wasijifiche tena kwenye hilo chaka la mamlaka kutoka juu! Hata hivyo hana cha kupoteza kama atafanya maamuzi sahihi kwani ubunge wake atabaki nao!Anaogopa amri toka juu
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Ndg kama hujui wote wako kaziniKwa ushahidi uliopo kuhusu Musiba ni kuwa, ana tabia za kujipendekeza kupita kiasi kwa kujifanya anakulinda na kukutetea kupitia media mbalimbali.
Alijipendekeza kwa JK hadi akalipiwa mahari na kusaidiwa michango ya harusi yake. JK kaondoka hivyo yeye na mbinu zake zilezile anajipenyeza kwa JPM ambapo badala ya kumpamba inavyopasa anamharibia hata kwa aliokuwa wanamuunga mkono.
Hii ni shida na jambo la hatari sana kwa mustakabali wa mshikamano na uzalendo wa taifa. Watu anaoshirikiana nao hao kina mchange hawana historia nzuri uraiani. Ni watu wa vurugu hawajatulia ila wanajificha kwenye pongezi na mapambio juu ya JPM ili waendelee kutii kiu zao! Hii ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa.
Nashangaa kwa sauti, mamlaka zote zimepigwa ganzi na kina musiba kiasi kwamba wamepata uziwi na upofu wa kudumu na haiwezi kumchukulia hatua za kisheria mtu huyu kwa kisa tu cha kumuunga rais mkono! Hii ni aibu katika utendaji kazi na ukweli kuna haja ya kuiwajibisha mamlaka husika kwa kumlinda mtu anayechochea machafuko na mifarakano ndani ya taifa. Waziri wa mawasiliano ni mwanasheria kitaaluma je, ni kweli haoni lolote la uvunjaji wa sheria katika magazeti na kauli za musiba? Kama anamshindwa ajiuzulu basi eeh!
Musiba mnamlaumu bure, huyo anayempigia debe na kumtetea kila uchao ndiyo huyo huyo anayemtuma na kumpatia maelezo ya kuongea. Haushangai gazeti la Tanzanite linavyotumiwa na shirika letu la ndege eti kujitangaza,gazeti ambalo halina circulation ya kueleweka countrywide.Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Nashkuru mama, hauko kama wengine huwa unaona ukweli.Huyo ni mshenzi hana ustaarabu.
Sijawahi kuunga mkono huu ujinga wa kutajana majina na kuanzisha ugomvi wa maneno usio na sababu. Naheshimu wanaonizidi umri siku zote.Nisome Kwa utulivu, ninaposema mmeanza kugeukana namaanisha kuwa Huyu musiba alianza kuwashambulia viongozi wa upinzani Kwa tuhuma fake na nzito kweli kweli, wote mliungana naye mkacheeekaaa na kufurahiii Leo kawagonga upande wenu povuuu debe mnamwaga!
Acheni unafiq.
Jiwe hapendeki shetani ana nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app