Kaini alipata wapi mke wake?

Kaini alipata wapi mke wake?

kuhusu mada husika swala la kaini alimuoa Nani kwa mujibu wa kitabu Cha waislam halina ukakasi Ni very simple kwamba mama Hawa ktk kila uzao wake alikua akizaa mapacha wakike na wakiume na ilikua Ni ruksa kuoana isipokua kwa pacha waliozaliwa pamoja ndo haukuruhusiwa,, kilichotokea Kati ya ndugu Hawa wawili habili alizaliwa akiwa tunasema handsome na pacha wake wa kike alikua wa kawaida,, na kaini alizaliwa kawaida na pacha wake wa kike alikua mrembo hasa hivo kaini akamtamani dada yake I mean pacha wake wakati haikuruhusiwa na habili nae alimpenda pacha wa kaini wakawa na uhasama na chuki Kati yao,,baba yao akamuomba Mungu amuelekeze Cha kufanya baada ya kuona wanae hawaelewani ndipo alipoelekezwa ndugu hao wakatoe sadaka ambaye sadaka yake itakubaliwa ndiye atakaemuoa pacha wa kaini,, kaini alikua mkulima na habili mfugaji kama sijachanganya hivo kaini yeye alipeleka mazao yaliyoharibika na ndugu yake alipeleka nyama ya KONDOO aliyenona Mungu akaikubali sadaka ya habili bado kaini hakukubali akaazimia kuua ndugu yake na akamuua Kisha akaanza kujuta na hakujua Cha kufanya na ule mwili wa ndugu yake akamlilia sana Mungu wake ndipo Mungu akamletea kunguru wawili wa mfano wakapigana yeye akiwa anawataza mpka kunguru mmoja alipomuua mwingine Kisha akaanza kufukua chini na akausukumia mwili wa kunguru aliyekufa na kufukia ndipo kaini akajua Cha kufanya akachimba naye shimo akamzika nduguye,,, long story short nahisi nimevamia mada ya wenyewe Kama ndivo tuvumiliane.
 
.
 
Natumai ni mzima na unaendelea vyema na majukumu, Kama unaumwa utapona kwa uwezo wa muumba wako.

HOJA YA MSINGI:

“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:

(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”

(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.

(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.

(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.

(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Naomba majibu tafadhari.
Baba yetu Adamu na mama yetu Hawa,walikuwa wanazaa pacha,yaani pacha wa kike na wa kiume. Alizaa pacha mbili. Yaani kaka wa pacha wa kwanza aliozeshwa kwa dada wa pacha wa pili. Na hapa ndiyo kizaa zaa kilipo anza. Mpaka mmoja akamuua mwenzake.
 
Mkuu kitabu gani hicho?
 
kuhusu mada husika swala la kaini alimuoa Nani kwa mujibu wa kitabu Cha waislam halina ukakasi Ni very simple kwamba mama Hawa ktk kila uzao wake alikua akizaa mapacha wakike na wakiume na ilikua Ni ruksa kuoana isipokua kwa pacha waliozaliwa pamoja ndo haukuruhusiwa,, kilichotokea Kati ya ndugu Hawa wawili habili alizaliwa akiwa tunasema handsome na pacha wake wa kike alikua wa kawaida,, na kaini alizaliwa kawaida na pacha wake wa kike alikua mrembo hasa hivo kaini akamtamani dada yake I mean pacha wake wakati haikuruhusiwa na habili nae alimpenda pacha wa kaini wakawa na uhasama na chuki Kati yao,,baba yao akamuomba Mungu amuelekeze Cha kufanya baada ya kuona wanae hawaelewani ndipo alipoelekezwa ndugu hao wakatoe sadaka ambaye sadaka yake itakubaliwa ndiye atakaemuoa pacha wa kaini,, kaini alikua mkulima na habili mfugaji kama sijachanganya hivo kaini yeye alipeleka mazao yaliyoharibika na ndugu yake alipeleka nyama ya KONDOO aliyenona Mungu akaikubali sadaka ya habili bado kaini hakukubali akaazimia kuua ndugu yake na akamuua Kisha akaanza kujuta na hakujua Cha kufanya na ule mwili wa ndugu yake akamlilia sana Mungu wake ndipo Mungu akamletea kunguru wawili wa mfano wakapigana yeye akiwa anawataza mpka kunguru mmoja alipomuua mwingine Kisha akaanza kufukua chini na akausukumia mwili wa kunguru aliyekufa na kufukia ndipo kaini akajua Cha kufanya akachimba naye shimo akamzika nduguye,,, long story short nahisi nimevamia mada ya wenyewe Kama ndivo tuvumiliane.
Swadaktaa. Hivi ndivyo hali ilivyo kuwa.
 
niulize hapa hayo maswali nikujibu mie...

Biblia tunayosoma ni summary tu ya kile alicho fanya Mungu.

Km tungeandika kila kitu Biblia ni kubwaaa mno km ghorofa 16 hivi!!kkm ingeandikwa kila kitu.

Hii. ya leo Ukisoma na vima tumboni kamwe hutaelewa wala usipoteze muda.ni mali ya wateule tu!

Na kweli imeandikwa umo kuwa IMANI SI MALI YA KILA MTU. km huielewi iache!...tu

Tumia vema akili yako, kama unayo enewei…. hutoshi kuulizwa maswali yenye kuhitaji ufahamu.

Umeaminishwa na wachungaji kuwa huwezi kuelewa maandiko hadi wakusomee ulipie!

Mungu hawezi kukupa jaribu lililo nje ya uwezo wako, vivyo hivyo hawezi kukupa ujumbe asiotaka uelewe… ila tu sharti uwe na akili timamu na uwezo wa kusoma kwa ufahamu.
 
Adam aliishi miaka 930,sasa ukiangalia hiyo miaka jiulize mtu huyo akiamua kuzaa anaweza zaa watoto wangapi? Na enzi hizo hakukua na hizi mambo za kulea kwa gharama kubwa sana.
Kiasili kabisa mtoto wa kiume alikua anapewa kipaumbele tangu mwanzo na inawezekana adam alikua na watoto wengine wa kike ambao hawajatajwa katika BIBLIA na ndio maana ukifatilia hata katika mila za kiafrika hasa haoa tz kwa makabila mengi wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupata urithi wowote ule, so tangu awali wanawke hawakupewa priority sana.
Hata MUNGU mwenyewe sio muumini wa GENDER EQUALITY ingekuwa sivyo asingetangulia kumuumba adamu then hawa baadaye...... Haya mambo ni magumu kuelewa ila yanaeleweka

Hiyo miaka 930 usikute ni miaka 93 tu kwa kalenda ya sasa.
 
HOJA YA MSINGI

“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:

(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”

(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.

(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.

(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.

(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.

Naomba majibu tafadhari.
Zile ni hadithi tu, usipende kuamini sana vitabu vilivyotungwa na binadamu kusingizia ni vya Mungu, ule ni usanii tu mkuu toka kwa Waroma.
 
mkuu yaani Hawa wenzetu sijui watafunguka lini akili ukiangalia historia ya dini Ina muda mfupi Sana ukilinganisha na umri wa dunia sijui wanapata wapi muda wa yaamini hayo mapokeo,ngano za wayahudi na waarabu za kuhusu Mungu wakatu na wao walikopi na kupaste kutoka accient civilization Kama Sumerians, Assyrian, Babylon,misri nk

Kiufupi wayahudi walikopi scripts kutoka vitabu vya kale vya hizo jamii na kuviflame viendane na tamaduni zao ila na hao accient civilization walipata huo ujuzi kutoka Kwa Alien wanaoitwa Annunaki kutoka sayari ya Nibiru inayopatikana Andromeda Galaxy
Waliokuja dunia kutafuta madini warecover sayari yao iliyoharibiwa na vita kubwa vya nuclear iliyoharibu sayari zao wakati jamii za aliens wakipigania kutawala anga zao

Kiufupi haya mambo yana mlolongo mrefu Sana na waafrika wengi tumefichwa ukweli Ili tuendelee kutawaliwa na baadhi ya waliopata hizo elimu!
 
Waafrika wana akili mgando sana, utakuta mtu kasoma lakini anakuja kumuamini mtu kama Gwajima na Mama Rwakatare au jitu tu linalojiita nabii huku akipiga miti wake za watu akisingizia kaoteshwa na bwana. Ndiyo maana siku hizi manabii ni wengi because wanajuwa kuwa hizi dini si za ukweli na ni sehemu ya kujipatia pesa na kuchapa wake za watu miti kiuliani. Atakuja mke wa mtu hapa kubisha nisemayo na kesho ataamka kwenda kumvulia chupi nabii Guest house bila hata kujitambua, akikamatwa utawasikia bwana alinijaa rohoni nikaona bora nikamsaidie mtumishi wa Mungu.
 
Tumia vema akili yako, kama unayo enewei…. hutoshi kuulizwa maswali yenye kuhitaji ufahamu.

Umeaminishwa na wachungaji kuwa huwezi kuelewa maandiko hadi wakusomee ulipie!

Mungu hawezi kukupa jaribu lililo nje ya uwezo wako, vivyo hivyo hawezi kukupa ujumbe asiotaka uelewe… ila tu sharti uwe na akili timamu na uwezo wa kusoma kwa ufahamu.
Duniani hkn mtu asiye na akili. Misemo ya shule za kata hii!acha.

Hao wachungaji walioniaminisha unaweza wataja kwa majina??
Au umeksudia kuropoka tu?
 
Sina hakika kama mleta uzi ni msomaji wa Biblia ama laa, swali hili linatatanisha wengi but let me share what i know through my experience of reading the Bible; kuanzia Mwanzo hadi vile vitabu 4 vya Injili is like wanawake walikua hawatajwi kabisa, kama ametajwa basi ujue kuna tukio maalumu limemuhusisha. Baba wa taifa la Israel/Wayahudi ambaye ndiye aliyetengneza makabila yao hayo 12 ni bwana Yakobo au Israel, huyu mwamba tunamsoma kwamba alipiga copy 12, yaani Reuben, Gadi, Yuda, Lawi, Asheri....., Yusufu. yaani watoto 12 wa kiume, but wakati hawa jamaa wanarudi kutoka ujombani kwao (watoto na baba na mama zao ) kwenda kwenye hiyo nchi ambayo leo tunaiita Palestina/Israel, njiani walikutana na wenyeji fulani ambao walimpenda dada yao mmoja anaitwa Dina, ukisoma kwa Biblia huoni alizaliwa lini, kaachiana na nani ziwa but inaonekana tu kazaliwa kwenye tumbo la mama aliyewazaa kina Lawi na wenzake, inamaana kama ingekua sio tendo lile la kubakwa na wale jamaa wala tusingejua kama kuna binti wa yule mzee aliyeitwa DINA (Bible scholars watanisaidia hapa). Mwishoni kule wakati kizazi cha watoto wake kilipokua kinaishia kwa maana ya KUFA tunaona yule mzee alipiga copy jumla 70 but story kamili ni watoto 12 wa kiume, soma hapa KUTOKA 1:5.

Kitabu cha Hesabu kilicho andikwa na Musa, nadhani ni kitabu cha 4 katika mtiririko wa vitabu vinavyofanya kua Torati, kitabu hiki ni kama leo tungesema SENSA ya wana wa Israel, hesabu yao kamili kwa maana ya makabila ilikua ni watu kama laki 6 tu but ukisoma kwa undani zaidi utagundua Musa alikua akiongoza watu zaidi ya milioni mbili but waliotajwa ni wanaume wenye uwezo wa kwenda vitani laki sita tu; nenda hadi kule Yesu alipoku akiwalisha mikate wale watu 5,000, wanatajwa kwa idadi watu hao wanaume wenye uwezo wa kwenda vitani, watoto na kina mama hawatajwi kabisa so ni desturi ya watu wa mashariki ya kati kuhesabu only men, watoto wa kiume na wanawake hawahesabiwi kabisa, now kwa mtazamo hu, huenda Adamu na Hawa walizaa watoto wengine zaidi ya wale watatu wanao tajwa kwa Biblia. Kitabu cha 1 Samuel 1: 11 kuna ndoa moja ya mcha Mungu, jamaa alikua na wake 2, mmoja Hanna na mwingine Penina, Penina alikua na watoto ilihali Hana hakua na watoto, angalia maombi ya Hana, hakusema naomba mtoto, alikwenda direct, Mungu ni mwana, neno mwana in English means SON, may be Hana alikua anazaa only female babies, yaweza kua kweli au sio kweli, the bible is silence on it but through the history, wanawake walikua hawatajwi.
Mchango wangu ndio huo
 
Kaini alimwoa dada yake ambae walizaliwa wote(pacha) na mdogo wake Seth akamwoa pacha wa marehemu Abel. Kwa Taarifa ni kwamba Adam alipata watoto watano tu. Wavulana watatu na wasichana wawili. Baada ya Abel kuuawa wakabaki wanne. Kutoka hao wanne ndipo dunia ikajazwa.
 
Back
Top Bottom