Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,139
- 6,050
Biblia imetokana na Torat (Biblia la Wayahudi ama Agano la kale), na Torat nayo imetokana na imani za Kemet (Misri) ambazo ni imani za Kiafrika. Wayahudi wakatunga Torat kufuatia taratibu zetu na kuweka kanuni zao, yaani walijiboreshea wenyewe Biblia lao. So ukiondoa imani za Kiafrika, hizi dini zote za Abrahanica ni za uzushi tu. You can never get ukweli from reading hivyo vitabu ila soma historia ya Ulaya kabla ya dini hazijatungwa na Warumi, Wayahudi, Waarab...utacheka, yaani ni usanii mtupu.Na kitabu cha Ufunuo ni hadithi tu?