Kahuruma fulani kameshaanza kuniingia kwa waPalestina

Kama wamejificha kwenye makazi ya watu,wanashindwa nini kuwafuata kwa mbinu za kijeshi,na kuwakamata,kama sio uoga wa kuwaogopa wanamgambo.Ni aibu kubwa sana,jeshi kupiga raia,na kupigana na mwanamgambo.Uoga wa Hali ya juu.Tafuta mtu akuelezee jinsi jeshi la Tanzania,lilivyopigana Uganda,kwa kutumia mbinu za kijeshi,bila kuumiza raia

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Duh, nyie bhana. Akashike mtu asiyejulikana. Hamas hawana combat official utawajua nazo sababu sio kikosi cha kijeshi. Same with Alqaeda, ISIS nk. Kuwapata hata mkiwa kwao ni ngumu, hadi alianzishe ndio ujibu, bila hivyo wataenda piga doria ya bure tu. Hao hao wananchi ndio Hamas na Hamas ni wananchi, period!!!
 
Ni aibu kubwa kwa jeshi la nchi,kupigana na wanamgambo,kupiga raia,watoto,wanawake.Ni jeshi lisilo na mbinu za kijesh.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kwenye vita, collateral damages hutokea. Pitia vita vyote uone, raia wa kawaida hufa bahati mbaya pia, sio kupenda kwao. It's war!
Silaha hazichagui, ndo maana vita siku zote sio suluhisho.
 
Wale waliojificha wanamgambo,usifananishe mgambo na mwanajeshi.Jeshi lonashindwa mbinu za kukamata wanamgambo.Ni aibu kubwa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
ISIS, ALQAEDA, BOKO HARAM, ALSHABAB NK. wote hao hawajaisha, na wanaongezeka kila kukicha. Nchi ngapi zimepigana vita na hiyo migambo /terrorists na bado hawajaisha hadi leo hii. Ni kuwadhibiti tu kwa mda ila hawaishi, wanakufa na wengine wanajiunga. It's a cycle. So hakuna kusema jeshi la Israel limeshindwa, la hasha, wanaangalia pia hawawezi fagia kila kitu ilhali uchafu mwingine uko mvunguni.
 
Huo ndio ukweli,jeshi,linapigana na raia,badala kutumia mbinu za kijeshi,kuwadhibiti wanamgambo,bila kuumiza raia,wanashindwa.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna raia aliyepigwa hata kofi.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Uganda walikuwa terrorists? Walikuwa hawana uniform za identity? Walikuwa wanapigana kutumia mfumo wa Guerilla warfare? Waganda walikuwa wanarusha rockets kama ilivyo sahi pande ile?
NB;na hapo ukumbuke mlkiwa na support ya wananchi wa UG, sio kama walikuwa wanajificha kati yao.
 
Majibu ya hayo maswali yako hayajalishi..

Tunasema nchi moja inapigana na nyingine iwapo majeshi ya hizo nchi mbili zinahusika..

Bila shaka Israel wanatumia jeshi lao,,
vp kuhusu Palestina ?.... Hamas ni jeshi la Palestina ?
Saddam Hussein na nchi yake walianza hivyo licha ya kuonywa kutojishirikisha na vikundi vya kigaidi kudhalilisha wazungu. Matokeo yake uliyaona!
 
Wapi umeskia hamas wanafichwa kwenye majumba ya wapalestina ?
Wana makazi yao wao wenyewe.....

Wapi umeskia raia wanashirikiana na HAMAS ?
Hilo linajulikana tayari, hata wewe ukimpiga myahudi watakupa makaazi Palestina na Hamas wao! 🤣 🤣 🤣
 
Ujinga ni pale unapojifanya unamjua sana Yesu kuliko Wayahudi wenzake waliomkataa.
 
Tatizo la palestina mpaka unawaonea huruma ni kwamba, hao Hamas wanapiga Israel alafu wanakimbia kujificha kwa raia wema, hii ni mbinu mbovu na ya kipumbavu ili mataifa ukiwepo na wewe muionee huruma.

Wanachofanya Israel si sahihi ila mwisho wa siku wanaona bora wawachape huko huko wanapojificha japo kuna watakaoumia ambao hawana hatia.
We unahisi Israel kuwashambulia Hamas ndio kutaleta amani

Waisrael wenyewe hawaishi kwa amani ya moyo japo nchi yao ina nguvu kubwa ya kijeshi

Dhana ya amani si kigezo cha kutumia nguvu nyingi, ni kutumia akili kwa kufuata maadili ya kijamii na kibinadamu

Wayahudi, wakristo na waislamu na makundi mengine yameishi kwenye ardhi hiyo kwa amani kwa karne nyingi na waliishi Kama ndugu

Kilichotokea mwaka 1948 wote tunakifahamu na ndio matokeo ya hiki ambacho kinatokea leo; ubaguzi, chuki, na vita miongoni mwao na hili limefanywa makusudi na wakuu wa dunia kwa maslahi yao

Jiulize; mbona wayahudi wanapatikana kwenye nchi nyingi duniani Kama vile marekani, nchi zote za ulaya, urusi, nchi za kiarabu na hata afrika wayahudi wapo na wanaishi kwa amani bila ubaguzi wowote

mbona hawafanyiwi hiki ambacho wao wanawafanyia waislamu huko Palestina


Kinachotokea hapa ni chuki za kidini Kati ya wayahudi na waislamu kwa maslahi ya watu fulani
 
Hayo maelezo marefu hayanihusu ninachosema ni kwamba unapompiga mwenzako usikimbie kuwakumbatia wanao, simama uwani kwako au eneo mlipotwangana na adui yako.

Mambo ya historia wakati watu wanaumizana yanawafaa watoto aseee!.
 
Huruma gani mkuu inakuingia? Hujaangalia site za wapalesitina wanavyo jimwambafai kuwa wamewagalagaza Wazayuni vibaya? Allah anawasaidia kwa mujibu wao.
Au wewe unaangalia Update kutoka kwa Wazayuni peke yao.
Oya ndugu yangu mzayuni upoo?
 
1. Kama Israel wanapigana na HAMAS. Sasa hao Wapalestina wanalalamika nini?
2. Hamas wanapigana kwa manufaa ya nani?
3. Na wanapigana na Israel wakiwa wapi?
Huwezi kuwakumbatia magaidi halafu uonewe huruma. Shida ya watu wanaoabudu dini ya mwarabu huwa hawataki amani. Unajua watu wanajeshi na wanasilaha kali, mnakomaa kupigana nao ili mtafute huruma kutoka kwa watu. Cha ajabu hata hao wanaoabudu dini ya warabu wamewatenga. Nyinyi hamjiongezi tu
Iran pamoja na kujigamba ana silaha kali ila yupo kimya tuli.
Acha wale kichapo ili akili ikae sawa.
Wapi umeskia hamas wanafichwa kwenye majumba ya wapalestina ?
Wana makazi yao wao wenyewe.....

Wapi umeskia raia wanashirikiana na HAMAS ?
 
1. Kama Israel wanapigana na HAMAS. Sasa hao Wapalestina wanalalamika nini?
2. Hamas wanapigana kwa manufaa ya nani?
3. Na wanapigana na Israel wakiwa wapi?
Huwezi kuwakumbatia magaidi halafu uonewe huruma. Shida ya watu wanaoabudu dini ya mwarabu huwa hawataki amani. Unajua watu wanajeshi na wanasilaha kali, mnakomaa kupigana nao ili mtafute huruma kutoka kwa watu. Cha ajabu hata hao wanaoabudu dini ya warabu wamewatenga. Nyinyi hamjiongezi tu
Iran pamoja na kujigamba ana silaha kali ila yupo kimya tuli.
Acha wale kichapo ili akili ikae sawa.
Wapi umesikia wamekumbatia hao magaidi ? Au unatupa story za vijiweni tu !!
 
Back
Top Bottom