Kahuruma fulani kameshaanza kuniingia kwa waPalestina

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,820
2,000
Wanawake na Watoto wanapoteza maisha hii haikubaliki. Israel wajitahidi sana kuwa waangalifu. Tunawaunga mkono kujilinda lakini maisha ya Wanawake na Watoto wasio na hatia inatugusa sana.

Hamas hawa wakulaumiwa wasiwatumie Wanawake na Watoto kama ngao. Natoa rai pande zote mbili zikae katika meza ya mazungumzo na maelewano.

Ila tumesahau mtu mmoja tu muweza wa yote ambaye tukimuomba kwa dhati nakufuata mafundisho yake huu mzozo wa Israel na Palestina unaweza ukaisha na si Palestina na Israel bali amani kwa binadamu wote. Si mwengine ni Yesu wa Nazareti mwana Mungu.

Tatizo wengi wanampuuzia lakini ni simple tu alisema mpende jirani yako unavyojipenda na mpende Mungu kwa nguvu zote akili zote na roho yote.

Yani hivi viwili tu ni amani ya milele
 
aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,439
2,000
Huruma gani mkuu inakuingia? Hujaangalia site za wapalesitina wanavyo jimwambafai kuwa wamewagalagaza Wazayuni vibaya? Allah anawasaidia kwa mujibu wao.
Au wewe unaangalia Update kutoka kwa Wazayuni peke yao.
 
Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,820
2,000
Huruma gani mkuu inakuingia? Hujaangalia site za wapalesitina wanavyo jimwambafai kuwa wamewagalagaza Wazayuni vibaya? Allah anawasaidia kwa mujibu wao.
Au wewe unaangalia Update kutoka kwa Wazayuni peke yao.
Mkuu labda hunifahamu vizuri humu. Nimetoa Rai pande zote mbili hasimu zikae kwenye meza ya mazungumo. Na wamchague mzee kama Kaunda na Dalai lama kupatanisha.

Wanaoumia hapa ni kina mama na watoto pande zote mbili.

Pia tumkumbuke Yesu kwenye huu mzozo
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,523
2,000
Mkuu ....
Wanaoumia hapa ni kina mama na watoto pande zote mbili.
Tatizo la palestina mpaka unawaonea huruma ni kwamba, hao Hamas wanapiga Israel alafu wanakimbia kujificha kwa raia wema, hii ni mbinu mbovu na ya kipumbavu ili mataifa ukiwepo na wewe muionee huruma.

Wanachofanya Israel si sahihi ila mwisho wa siku wanaona bora wawachape huko huko wanapojificha japo kuna watakaoumia ambao hawana hatia.
 
g vizy

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
600
1,000
Wamama na watoto wanapoteza maisha hii haikubaliki. Israel wajitahidi sana kuwa waangalifu. Tunawaunga mkono kujilinda lakini maisha ya wamama watoto wasio na hatia inatugusa sana.

Hamas hawa wakulaumiwa wasiwatumie wamama na watoto kama ngao.

Natoa Rai pande zote mbili zikae katika meza ya mazungumzo na maelewano.

Ila tumesahau mtu mmoja tu muweza wa yote ambaye tukimuomba kwa dhati nakufuata mafundisho yake huu mzozo wa Israel na Palestina unaweza ukaisha na si Palestina na Israel bali amani kwa binadamu wote.

Si mwengine ni Yesu wa Nazareti mwana Mungu. A

Tatizo wengi wanampuuzia lakini ni simple tu alisema mpende jirani yako unavyojipenda na mpende Mungu kwa nguvu zote akili zote na roho yote.

Yani hivi viwili tu ni amani ya milele
Vita vya hawa jamaa haijaanza leo ni miaka na miaka tumekua tukisikia kuhusu mapigano yao uenda kwa sasa imekua ni too much kutokana na mauaji ya kikatili yanayoendelea nilikuwa naangalia namna watoto wasio na hatia wanavyouawa kikatili inauma sana kiukweli

Mungu aendelee kunusuru tu kwa kweli manake Daaah
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,890
2,000
Wapalestina /Wafilisti hao wasiotahiriwa mioyo sio watu wa kuonewa huruma.

Ni Magaidi na waliokuwa na nia mbaya sana kwa Waisrael, imagine they sent more than 2400 rockets for the purpose of killing Israelites, ni vile tu Iron Dome technology imewasaidia waisrael kupunch hiyo missiles ya Palestine.

Huwa wanatangaza kuwa lazima Israel ifutike kwenye ramani ya Dunia...kwani ni wao waliwaweka? Stupid palestines

Tena Israel waliwaonea huruma kuwatangazia siku tatu kabla kuwa watafanya malipuzi sehemu kadhaa zenye Magaidi, tatizo hao Magaidi wanawatumia watoto wadogo kama ngao yao halafu watoto wakifa wanawapiga picha na kusema ni Wanajeshi wa Israel wamewaua.

Ni vichokozi halafu vikichapwa vinakimbilia kushitaki duniani.

Ikitokea siku moja wakamalizwa wote itakuwa Shangwe, Nderemo na Vifijo

IMG_20210514_052711.jpg
 
Chemical Engineer

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
240
500

View attachment 1791113
Israel haipigani na Palestine,, inabidi uelewe kwanza hilo..
Israel wanapigana na kikundi cha wanamgambo HAMAS...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom