Kahuruma fulani kameshaanza kuniingia kwa waPalestina

1. Hamas ni wa taifa gani?
2. Kwanini wapo kwa wapalestina?
3. Kama HAMAS siyo wapelestina inakuwaje wapigane kwa kimvuli cha wapalestina?
4. Wenyewe Wapelestina wanasemaje kuhusu kundi la Hamas linalosababishia matatizo?
Israel haipigani na Palestine,, inabidi uelewe kwanza hilo..
Israel wanapigana na kikundi cha wanamgambo HAMAS...
 
Maelezo na maswali yako haijalishi Israel anapigana na nani. Anachotaka ni usalama wa watu wake pamoja na mali zao.
Majibu ya hayo maswali yako hayajalishi..

Tunasema nchi moja inapigana na nyingine iwapo majeshi ya hizo nchi mbili zinahusika..

Bila shaka Israel wanatumia jeshi lao,,
vp kuhusu Palestina ?.... Hamas ni jeshi la Palestina ?
 
SOMA AYA YA 9.UENDA UTAPATA MWANGA
Screenshot_20210519-200721.jpg
 
Kama wanawaficha wahalifu kwann wasiouliwe tu?
Jambazi akiiba akakimbilia kwako halafu ukampa hifadhi nawe ni moja wahalifu. Ili usionekane siyo mhalifu lazima ushirikiane na polisi kumkabidhi huyo jambazi kwa polisi. Ndicho kinachotokea kwa wapalestina.
Wanahifadhi HAMAS kwenye majumba yao halafu wao wanakaa kimya. Hamas wanashambulia Israel halafu wanakaa kwenye majumba ya wapalestina. Na wapalestina wanakaa kimya tu hawalalamiki kuhusu Hamas.
Wakipigwa wanajifanya wanaleta watoto wao wamekufa. Hakuna mtu anayetaka hasara
Kuuliwa kwa raia ni haki yao ndiyo wametaka hayo kwasbb wanashirikiana na HAMAS.
Israel inatakiwa hao raia iwaue wote ndiyo wajue hasara ya kuwakumbatia HAMAS
Unalindaje raia wako kwa kuua raia wasiokua na hatia ?
 
Israel ni muoga,wanashindwa kukabiliana na wapiganaji wa kipalastina uso kwa uso,wanarusha mabomu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna mwananchi wala mtoto,wala Mwanamke,wala asiyehisika na vita,alipigwa hata kofi wacha bomu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Hahaha Magaidi ya kiislam ndio waoga siku sote, wanarusha mabomu kwa kuvizia halafu wanaingia chimbo, hahahaha...walijifunza kwa Osama Bin laden, Sadam Hussein na Muhammad Ghadafi lakini kilichokuja kuwapata hawatakaa wasahau.

Na hao wapalestina wako hivyohivyo...wamerusha Rockets zao zikabuma, sasa wanatembezewa kichapo tu mpaka wanaomba Dunia iwasaidie.
 
Israel ni muoga,wanashindwa kukabiliana na wapiganaji wa kipalastina uso kwa uso,wanarusha mabomu.Tanzania tulipigana na Uganda,hakuna mwananchi wala mtoto,wala Mwanamke,wala asiyehisika na vita,alipigwa hata kofi wacha bomu.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
So far wamefanya tathmini na kuona mashambulizi ya anga yapo effective zaidi na kiasi flani wameua magaidi pamoja na kuharibu miundo mbinu yao so hamna haja ya kupeleka vikosi vya ardhini
 
Back
Top Bottom