Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Kwani umesikia imeisha, kwasasa tumeona faida lukukiKwenu imeshawa facilitate?😁😁
1. Imeongeza ajira watu wanajenga na kulisha familia zao
2.imeongeza mzunguko wa pesa na kuinua uchumi kwa jamii husika
3.imewaongezea vijana ujuzi
4.imeanza kupendezesha na kuinua miundombinu mfano Mwanza tumepata viaduct ya 1.5km kupitia hii sgr
5.imesababisha baadhi ya miji kutanuka mfano pale fella palikuwa ovyo lakini sasa panalingana na goba.