Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii daladala inasafari za kwenda maeneo gani ya huko mbeya?
Dar-Mbeya-Tunduma-Lusaka-Harare-Jozbg.

Chuma la maana kama Hilo Benz Wasukuma mtaishia kuona kwenye video kama hivi,humo hupandi na mbuzi,hiyo sio Mohamed Trans 😂😂
 
Endeleen kutupostia mabasi...bukoba ishatoka huko....

Ili ni shirika jipya la ndege Tanzania..
Bukoba ni moja ya miji ya kwanza kuanzisha safari zake...Tazama nauli sasa...na itakuwa inajaa...nyinyi baki na takwimu zenu eti kagera hawapati hata 3000 kwa siku😂😂...
Bukoba kuna mashirika manne ya ndege yenye safari kila siku
1. Air Tanzania hii ni mara mbili kwa siku
2. Precision Air..kila siku
3. Fastlink kila siku
4. AUric kila siku...

usije na hoja kuwa ni mbali...Musoma, kigoma, mbeya, Tabora , kahama, katavi, sumbawanga hata airport hawana, njombe hata airport hawana nk lakin hata mashirika madogo hayaendi huko...
SHIDA NI VIPAT VIDOGO
 
Attachments

  • Screenshot_20231101-071621.jpg
    Screenshot_20231101-071621.jpg
    92.2 KB · Views: 3

Bukoba ni maskini usiwe unaongea mbele ya Wanaume unajidhalilisha.

View: https://twitter.com/djnsajigwa/status/1719611240887030145?t=Wu8m82aV6JXTZraK1wOy5A&s=19
 
Attachments

  • Screenshot_20231101-071621.jpg
    Screenshot_20231101-071621.jpg
    92.2 KB · Views: 2
Hebu leta makanpuni ya ndege yanayoelekea huko Kusini...Toa Air Tanzania na Precision ambazo nazo hazijai😂😂

Nauli ya mtu ni mmoja ni nauli ya watu 15 wa bus moja hapo
Kampuni zote Zinaenda ,ATCL Kwa Sasa Ina daily flights na Baadhi ya siku inaenda twice a day
 
Attachments

  • Screenshot_20231101-123622.png
    Screenshot_20231101-123622.png
    1,003.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231101-123717.png
    Screenshot_20231101-123717.png
    969 KB · Views: 4
Kwa kweli Hatuwezi kupinga Hilo mnatuzidi sana sana 😁😁😁😁View attachment 2800053
Nilijua utakimbilia kwenye takwimu za kupika😂

So kwa makazi haya ya mbeya ndo kila mtu anakipato cha more than 4million? ...
Kama haya ndo maendeleo na kagera ibaki kuwa ya mwisho tu
Compare and contrast...
Picha 1...Mbeya
Picha 2...Bukoba
 
Attachments

  • Screenshot_20231020-085458.png
    Screenshot_20231020-085458.png
    991.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230514-144654.jpg
    Screenshot_20230514-144654.jpg
    85 KB · Views: 8
Nilijua utakimbilia kwenye takwimu za kupika😂

So kwa makazi haya ya mbeya ndo kila mtu anakipato cha more than 4million? ...
Kama haya ndo maendeleo na kagera ibaki kuwa ya mwisho tu
Compare and contrast...
Picha 1...Mbeya
Picha 2...Bukoba
Ukioikiwa wewe kula😂😂😂

Jifunze ku post unatuumiza macho
 
Ukioikiwa wewe kula😂😂😂

Jifunze ku post unatuumiza macho
Leo unifundisha mimi kupost😂😂😂..

Anyway sasa hiv Bukoba kunajengwa stendi nzr sana ya daladala hapo mjini Bukoba...kufikia mwakani mwezi wa sita Bukoba ndo mji utakaokuwa na stendi nzr zaidi ya daladala Tz nzima ukitoa tu Mwenge pale Dar...

Stendi kuu pia itajengwa mpya nzr saba
Ujenzi ukiendelea

View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=j0aafmfJ_zCd9cla
 
Attachments

  • Screenshot 2023-10-28 031206.png
    Screenshot 2023-10-28 031206.png
    1.6 MB · Views: 6
  • Screenshot 2023-10-28 031628.png
    Screenshot 2023-10-28 031628.png
    1.6 MB · Views: 5
Leo unifundisha mimi kupost😂😂😂..

Anyway sasa hiv Bukoba kunajengwa stendi nzr sana ya daladala hapo mjini Bukoba...kufikia mwakani mwezi wa sita Bukoba ndo mji utakaokuwa na stendi nzr zaidi ya daladala Tz nzima ukitoa tu Mwenge pale Dar...

Stendi kuu pia itajengwa mpya nzr saba
Ujenzi ukiendelea

View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=j0aafmfJ_zCd9cla

Nimekwambia jifunze ku post picha unakera maana unatuumiza macho.

Wewe unaona hizo picha ziko sawa?
 
Back
Top Bottom