Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Kahama huwez kulinganisha na visenta, kahama ni manispaa na njombe mji ni kisenta cha walima viaziNjombe ni Mkoa wa wapambanaji usilinganishe na Magulio kama Kahama.
Kahama huwez kulinganisha na visenta, kahama ni manispaa na njombe mji ni kisenta cha walima viaziNjombe ni Mkoa wa wapambanaji usilinganishe na Magulio kama Kahama.
Ni lini gulio la Kahama litamfikia level hizi za Njombe? Dp World hakuwa mjinga kuja NjombeKahama huwez kulinganisha na visenta, kahama ni manispaa na njombe mji ni kisenta cha walima viazi
Chaka la kujifichia😝😝😝Kwa kweli Hatuwezi kupinga Hilo mnatuzidi sana sana 😁😁😁😁View attachment 2800053
Mwanza mumejikomboa kwenye Kapu la maskini 😆😆😆Chaka la kujifichia😝😝😝
Tatizo huwa unakurupuka, kipande kikubwa cah mwanza cha Busega kilimegwa kutengeneza mkoa wa simiyu, busega ilikuwa na watu kama 320,000 kumegwa kwa ilo eneo lilipunguza population ya Mwanza ndio maana wakaona kama growth imeshuka lakni sio kweli subiri tena 2032 utakuja kuona growth rate ya Mwanza.Mwanza mumejikomboa kwenye Kapu la maskini 😆😆😆
Ila mnaingia kwenye crisisya watu kukimbia Mwanza baada ya kuona hakuna maisha 😂😂View attachment 2800153
Wewe ni jinga,kumegwa Kwa Busega ndio kunapunguza population in number au in terms of growth rate?Tatizo huwa unakurupuka, kipande kikubwa cah mwanza cha Busega kilimegwa kutengeneza mkoa wa simiyu, busega ilikuwa na watu kama 320,000 kumegwa kwa ilo eneo lilipunguza population ya Mwanza ndio maana wakaona kama growth imeshuka lakni sio kweli subiri tena 2032 utakuja kuona growth rate ya Mwanza.
Kukitokea vifo au vita na idadi kubwa ya watu wakafa, je kipi kitaathirika ni rate au number, je number na rate ipi ni dependent factor na ipi ni independent factor?Wewe ni jinga,kumegwa Kwa Busega ndio kunapunguza population in number au in terms of growth rate?
Mshaongia Cha kike,2036 Dom ndio itakuwa second biggest City in case population growth rate yake itaendelea kuwa hivyo hivyo.
Hakuna vita Tanzania harafu Simiyu iliundwa kitambo tuu na kina Njombe,Songwe nkKukitokea vifo au vita na idadi kubwa ya watu wakafa, je kipi kitaathirika ni rate au number, je number na rate ipi ni dependent factor na ipi ni independent factor?
Ile mall yq bukoba...Bakwata complex..
Ujenzi uko kasi sana...next year august inafunguliwa...
View: https://www.instagram.com/reel/CzF9uQMtBF7/?igshid=YWYwM2I1ZDdmOQ==
Kwa hiyo Airport ya Bukoba Ina cold room au? 😁😁😁Ndo mnajengewa sasa hiv...Bukoba airport ilijengwa miaka ya 2010 huko....na bado Bukoba Airport terminal iko unmatched nchi hii...
Bukoba Airport iko inawekewa taa za kuongoza ndege hadi usiku, kunajengwa VIP terminal lounge, na mengine kibao tazama bajeti ya mwaka huu
Na bado kuna mpango mpya wa ujenzi wa uwamnja mpya wa kimataifa maeneo ya Kajunguti wilayani misenyi...40km kutoka bukoba..
Iliundwa mwaka gani?Hakuna vita Tanzania harafu Simiyu iliundwa kitambo tuu na kina Njombe,Songwe nk
Unaleta excuses za kijinga,watu wanakimbia
Cold room unaona ni jambo la ajabu, Mwanza airport ipo toka 2015Kwa hiyo Airport ya Bukoba Ina cold room au? 😁😁😁
Jifunze ku post unaboa
Ipo inafanya nini wakati huo sio uwanja ni kakiwanja ka kienyeji tuu?Cold room unaona ni jambo la ajabu, Mwanza airport ipo toka 2015
Hatutegemei ndege za abiria za ndani sisi midege mikubwa ya mizigo inaingia daily kubeba samaki na bidhaa nyingine na kwenda Europe moja kwa moja angalia hapa 22/10/2023Ipo inafanya nini wakati huo sio uwanja ni kakiwanja ka kienyeji tuu?
Soma hiyoo 👇Hatutegemei ndege za abiria za ndani sisi midege mikubwa ya mizigo inaingia daily kubeba samaki na bidhaa nyingine na kwenda Europe moja kwa moja angalia hapa 22/10/2023
View attachment 2801132
Soma hiyoo 👇
View: https://twitter.com/NoelTanzania/status/1717116862998446490?t=pFypctHcho6E42KA-PsYEQ&s=19
Dodoma-Mbeya Sgr loading
Haina maana Kwa Sasa labda kuanzia 2040 huko Uchumi ukishakuwa mkubwaEndelea
kichwa chako kimejaa upupu, wewe si ulikuwa unapinga ujio wa sgr kwamba hauna maana leo unafurahia mbeya kujengewa sgr, tazara yenyewe imewashinda mnataka kuongeza white elephant project nyingine.
Ujui kuwa sgr ndio itakuwa facilitator wa uchumi?Haina maana Kwa Sasa labda kuanzia 2040 huko Uchumi ukishakuwa mkubwa
Kwenu imeshawa facilitate?😁😁Ujui kuwa sgr ndio itakuwa facilitator wa uchumi?