ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,254
- 85,128
- Thread starter
- #17,641
Gorofa Mpya au ni ya mwaka Jana?
Gorofa Mpya au ni ya mwaka Jana?
Hapo Kuna moja ndo inaanza nyingine ya mwaka Jana inaendelea kupandaGorofa Mpya au ni ya mwaka Jana?
Tazara kuwa Sgr baada ya Mwekezaji wa China kuanza kuiendesha.
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1720409750406303852?t=tf45T9QLhMIqw5wdoBMKhQ&s=19
Kiwanja cha burudani wanajenga vibanda vya kuuzia karanga na viazi, hivi mnakosaga washauri wa mambo ya ujenzi na mipango?
Picha ya chini naona ghorofa moja tu jiji zima tena CBD.
Na wewe hako kajenga hakajaisha tu kila siku lazima ukaweke leta vitu vya maana.
Mwambie mwenzako kila siku amekazana na hako kajengo ambako hakaishi toka mwaka juzi.Gorofa Mpya au ni ya mwaka Jana?
Habari mbaya Kwa watu wa Lake Zone 🔥🔥
View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1720704837682090289?t=iuqa91FE0Pg02QbNtbxoDw&s=19
Swala sio wao kuingia site Bali kuchukua oparesheni itaongeza Ufanisi na ubora kama zamani.Mwanza wangekuwa hawana sgr hapo ingekuwa ni huzuni, lakini unaanza kutamba hata wakandarasi hawajaingia site.
Jiandae kutumia mafuta, na mtavuta sana gas ya ukaa, acha sisi tuburudike na sgr ya umeme kwa afya bora na akili kichwani.Swala sio wao kuingia site Bali kuchukua oparesheni itaongeza Ufanisi na ubora kama zamani.
Pili Sgr ya huko sio lazima kwamba iwe ya umeme Bali inaweza kuwa kama ya Kenya
Acha wivu mzee we huon Kuna project mpya hapoNa wewe hako kajenga hakajaisha tu kila siku lazima ukaweke leta vitu vya maana.
AcHA ushambawako katembelee uone burudan zilizopo hapoKiwanja cha burudani wanajenga vibanda vya kuuzia karanga na viazi, hivi mnakosaga washauri wa mambo ya ujenzi na mipango?
Hicho kiguest house nikionee wivu, nishindwe kuonea wivu miradi mikubwa kama flyover, BRT n.k.Acha wivu mzee we huon Kuna project mpya hapo
Habari mbaya Kwa watu wa Lake Zone 🔥🔥
View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1720704837682090289?t=iuqa91FE0Pg02QbNtbxoDw&s=19