Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

thumb_1167_800x420_0_0_auto.jpeg
Wakikamilisha hii Barabara ya mkenda hadi msumbiji kiukweli itafungua Sana mikoa ya ruvuma na njombe maana gari nyingi za msumbiji Malawi na south Africa zitapita hii road ni short cut kuliko ya tunduma na kazi ya ujenzi inaanza km 60 na hii imefanya makambako kuwa busy na ujenzi wa viwanda ndani ya mkoa wa njombe na bado mchuchuma na liganga mambo yanazidi kuwa♨️♨️♨️ 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇JE WAJUA SONGEA NDIYO BARABARA YA MKATO KWENDA AFRIKA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile Mji wa Songea ni njia ya mkato ya kwenda nchini Afrika ya Kusini hivyo kujengwa kwa barabara ya lami kutoka Songea hadi Mkenda mpakani na Msumbiji kunakwenda kuufungua Mkoa wa Ruvuma kimataifa
Mheshimiwa Ndile alikuwa anazungumza na wananchi wa Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea ambao wametoa hekari 5000 kwa ajili ya kujenga viwanda vya kisasa hivyo kuwezesha bidhaa zitakazozalishwa kwenye viwanda hivyo kuuzwa nchi za Malawi,Msumbiji na Afrika ya Kusini.
ramani-ya-msumbiji-barabara.jpg
 
View attachment 2725754Wakikamilisha hii Barabara ya mkenda hadi msumbiji kiukweli itafungua Sana mikoa ya ruvuma na njombe maana gari nyingi za msumbiji Malawi na south Africa zitapita hii road ni short cut kuliko ya tunduma na kazi ya ujenzi inaanza km 60 na hii imefanya makambako kuwa busy na ujenzi wa viwanda ndani ya mkoa wa njombe na bado mchuchuma na liganga mambo yanazidi kuwa♨️♨️♨️ 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇JE WAJUA SONGEA NDIYO BARABARA YA MKATO KWENDA AFRIKA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile Mji wa Songea ni njia ya mkato ya kwenda nchini Afrika ya Kusini hivyo kujengwa kwa barabara ya lami kutoka Songea hadi Mkenda mpakani na Msumbiji kunakwenda kuufungua Mkoa wa Ruvuma kimataifa
Mheshimiwa Ndile alikuwa anazungumza na wananchi wa Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea ambao wametoa hekari 5000 kwa ajili ya kujenga viwanda vya kisasa hivyo kuwezesha bidhaa zitakazozalishwa kwenye viwanda hivyo kuuzwa nchi za Malawi,Msumbiji na Afrika ya Kusini.View attachment 2725752
Minimal impacts.Inge make sense kama tungekuwa na Biashara kubwa na Msumbiji ila hakuna kitu.

On top of that tayari tunaungana na Msumbiji via Mtwara ila hakuna Cha maana.

Mwisho Magari mengi yanayopita Tunduma yanaenda DRC na Zambia.Kitu pekee nachoona kitakuja punguza malori njia ya Tunduma ni kuwa n Bandari kubwa,reli na Barabara nzuri kati ya Beira na Zambia/DRC.

Hapo ni shortcut kuliko Dar Port hivyo hiyo ndio threat kubwa.
 
PARACHICHI YA TANZANIA INAYOUZIKA ZAIDI NJE

Mkurugenzi wa Mazao kutoka @wizara_ya_kilimo Nyasebwa Chimagu amesema kwa sasa Parachichi aina ya Hass na Fuerte ndio zinazouzika zaidi nje ya nchi na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya tatu Afrika kwa uuzaji wa parachichi.

Akizungumza na TBCOnline Chimagu amesema kwa sasa soko kubwa la parachichi lipo Ulaya, Uingereza, Uholanzi, China, Afrika ya kusini na India.

Amesema Wakulima na Wafanyabishara hawana budi kuchangamkia fursa hiyo, kwani Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jitihada kubwa kuhakikisha zao hilo linapata soko nje ya nchi hivyo wazingatie kanuni za uzalishaji ili kukidhi mahitaji ya soko.

Chimagu
amebainisha kuwa kichocheo kikubwa cha wakulima kufikia viwango vya kimataifa vya uzalishaji ni uhakika wa soko la bidhaa hiyo, kwani wazalishaji watakuwa na ari ya kuzalisha kwa tija kwa kuzingatia kanuni za ubora.

Ameeleza kuwa mwelekeo wa nchi kwa sasa ni kufika kumi bora ya wazalishaji wa zao la parachichi kidunia huku pia ikiendelea na juhudi za kuongeza wigo mpana wa soko la parachichi.

Mkurugenzi huyo wa mazao kutoka wizara ya Kilimo amesema kwa sasa parachichi aina ya Hass na Fuerte ndio iliyokamata zaidi soko la nje kwa sababu ya hali yake ya uzuri wa tunda lenyewe kwa kuwa na ukubwa unaohitajika, virutubisho vya kutosha na mafuta ya kutosha.

Sifa hizo zinalifanya kuwa bora zaidi kutengeneza bidhaa za usindikaji huku ganda lake likiwa na uwezo wa kuhimili uharibifu nyakati za usafirishaji.

@wizara_ya_kilimo
1692936036441.jpg
 

Attachments

  • 1692936036441.jpg
    1692936036441.jpg
    31.2 KB · Views: 2
Ndan ya makambako tc watu wanatumia fursa baada ya tangazo la tcra kutoa leseni tayar wadau wamesha Anza kazi redio mpya zinafungiliwa idadi ya redio inazidi kuongezeka
FB_IMG_16877606015239466.jpg
1692914286201.jpg
 
Sehemu ya shamba la kahawa katika kijiji cha Lipokela Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani RuvumaEe.
Kampuni ya AVIV TANZANIA imewekeza katika shamba hili lenye ukubwa wa hekta zaidi ya 1000 ambapo kila mwaka Kampuni hiyo pia inachakata kahawa tani 2000 na kuuza katika nchi mbalimbali Duniani
 
Back
Top Bottom