Wakiweka Lami Ile Barabara ya Mafinga-Madibira Bus zote zitapitia njia Ile au ya Igawa itakuwa ni kuchagua.Chuma hicho ubaruku ,makambako dsm ruti ambayo now inakuja moto sana kampuni nyingi zilizokuwa njombe zimeingiza magari ruti hii mfano njombe exp,sweet Africa nk hii saiz inakuwa kampun ya sita hichi kipande now kina ongezeko la abiria na Zina wahi kutoka zinatangulia had za njombe maana makambako igawa ni km 53 wakati makambako njombe hadi stendi kuu ni km zaidi ya 60 matajiri weng wameanza kupachika hichi kipande
View attachment 2741615
Ziorodheshe hizo kampuni tuzijueChuma hicho ubaruku ,makambako dsm ruti ambayo now inakuja moto sana kampuni nyingi zilizokuwa njombe zimeingiza magari ruti hii mfano njombe exp,sweet Africa nk hii saiz inakuwa kampun ya sita hichi kipande now kina ongezeko la abiria na Zina wahi kutoka zinatangulia had za njombe maana makambako igawa ni km 53 wakati makambako njombe hadi stendi kuu ni km zaidi ya 60 matajiri weng wameanza kupachika hichi kipande
View attachment 2741615
Zipo kama zifuatazo 1sweet Africa, 2galaxy,3Rohan's,4njombe exp ,5 bahari beachZiorodheshe hizo kampuni tuzijue
Ile ndefu na Haina makazi Na imepita sehemu nyingine imechukiliwa na hifadhi ya ihefu ko ipo ndanWakiweka Lami Ile Barabara ya Mafinga-Madibira Bus zote zitapitia njia Ile au ya Igawa itakuwa ni kuchagua.
Dar-Makambako-Ubaruku.Zipo kama zifuatazo 1sweet Africa, 2galaxy,3Rohan's,4njombe exp ,5 bahari beach