Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Mzee baba nahitaj kuja njombe uko
Mzee baba nahitaj kuja njombe uko
Rais Samia watu hawajamsoma yaani Huwa ni mtu wa ajenda za kiujumla sio specific na Kwa hiyo hawezi kusemea hii na Bora angekuwa ziarani.Mbeya cc kunanguvu inatakiwa iongezwe 👇👇👇👇👇👇👇👇👇“Barabara za jiji la Mbeya karibia kilometa 400 ni za vumbi, ni vile tu wewe wanakupitisha kwenye hizi barabara hujapata picha, kwasababu jiji hili liko nyuma ya majiji yote nchini tunakuomba utusaidie kwenye hizi barabara za vumbi” - Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania #NaneNane2023View attachment 2711963
Kwa kweli vumbi linatisha, halafu ni lile laini kama jivu"JIJI LINA VUMBI, SUTI HAZIVALIKI" DKT. TULIA ALIVYOOMBA KIAINA UJENZI WA MIUNDOMBINU KWA MAKAMU WA RAIS.
Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson amemuomba kiaina Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ujenzi wa miundombinu ya barabara za Jiji la Mbeya na soko la machinga eneo kilipojengwa kiwanda cha kusindika mbogamboga na matunda.
Akitoa ombi hilo mbele ya Makamu wa Rais, Dkt Tulia amesema Jiji la Mbeya Lina kilomita zaidi ya 400 ambazo kwa Sasa zina vumbi, na kua kikwazo kwa wananchi wa Jiji hilo, hivyo ujenzi wa miundombinu utasaidia wafanyabiashara na wasindikaji kufanya shughuli zao nyakati zote.
Cc @enocksaimon
#WasafiDigital
Nyie endeleeni kuchangilia mabasi....

Sio Leo wala kesho mzee, Kipande cha ifakara to Kilombero tu bado hakijaisha, Sembuse icho cha ifakara mpaka mlimbaInapita Njombe(Stop Lupembe), inaenda Lupembe, inashukia karibu na Chitta huko (Moro), then Mlimba - Kihansi, Mbingu - Mngeta, Ifakara - Kidatu, Mikumi. Kipande kisumbufu Ni Ifakara - Lupembe.
Kabisa maana nimefuatilia Bungeni ndio kwanza wako kwenye design kutokea Njombe.Sio Leo wala kesho mzee, Kipande cha ifakara to Kilombero tu bado hakijaisha, Sembuse icho cha ifakara mpaka mlimba
Wakenya wameiexplore Bukoba na wanaiona iko developed to be city kwa upande fulani...