instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,588
- 19,683
Pambaneni mfike hapa kwanza...Maskini akimbie aende wapi? Ana nauli?
Bukoba iko mbali sana....
Pambaneni mfike hapa kwanza...Maskini akimbie aende wapi? Ana nauli?
Kwenye nauli kubwa umetupiga [emoji3]Naona Bukoba iko ligi na majiji....
Mkoa maskini zaidi wa kipato lakin naona ina watu wengi wenye uwezo wa kupanda ndege ....
Na bukoba hakuna utalii na nauli ndo kubwa zaidi kwa safari zote nchi hii
Bukoba mji wenye watu 150000 lakin una abiria wote hao wa ndege
Bukoba Dar kwa ndege ni sh ngap? Tuanzie hapo kwanza....
Tazama nauli hizo zinaenda laku tano...mishahara ya waalim huko mbeya mwezi mzima
Bila G7 au semi luxury za maana huku hutoboi ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanza mumekumbukwa