ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,109
- 85,005
- Thread starter
- #16,981
Na nyie malizenj haka kajengo miaka yote haliishagi tuu?Haya makambako HiYo shopping mall na inajengwa na mtu binafsi na bado floor zinaendelea kuongezeka nguvu ya pesa na kuweka mji kibiashara zaidi
View attachment 2696668View attachment 2696669
Hiyo picha ili chukuliwa Muda kidogo Linaendelea kupanda walimzingua kipindi Cha mwendazake now karudisha majeshi yupo floor ya nneNa nyie malizenj haka kajengo miaka yote haliishagi tuu?
Sasa billion 3 zitawezaje kujenga kilometers 53?Haya Sasa makambako inakwenda kuwa na lami Kila Kona 👇👇👇👇BILIONI 3.2 ZAIWEZESHA TARURA KUJENGA KILOMITA 51.28 ZA BARABARA MKOANI NJOMBE - Mhe. Ndejembi
Na: James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI)
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Serikali ya Awamu ya Sita katika Mwaka wa Fedha 2022/23 ilitenga bilioni 3.2 zilizoiwezesha TARURA kujenga barabara za kiwango cha lami zenye urefu wa kilomita 51.28 mkoani Njombe.
Mhe. Ndejembi amesema hayo akiwa katika Halmashauri ya Mji Makambako, mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo.
Mhe. Ndejembi amesema, kabla Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani TARURA ilitengewa shilingi bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa barabara mkoani Njombe, na kuongeza kuwa Mhe. Rais aliongeza bajeti iliyofikia shilingi bilioni 3.2 ili kuongeza wigo wa ujenzi wa barabara mkoani humo.
“Mhe. Makamu wa Rais katika kilomita 51.28 za barabara zilizojengwa mkoani Njombe wananchi wa hapa Makambako wamenuifa na kilomita 12 zilizojengwa katika mji huu wa Makambako,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.
Mhe. Ndejembi ameongeza kuwa, katika mwaka huu wa fedha 2023/24 Serikali imetenga bilioni 1 kwa ajili ya kujenga barabara za kiwango cha lami ambazo zitawekewa taa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Aidha, Mhe. Ndejembi amesema katika mwaka wa fedha 2021/22 Halmashauri ya Mji wa Makambako ilipokea zaidi ya shilingi milioni 470 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Kitisi.
Sanjali na hilo, Mhe. Ndejembi amesema katika kata ya Kitandililo Serikali imeleta milioni 583 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari na inaendelea na ujenzi wa kituo cha afya ambacho kimetengewa milioni 250 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wake.
Alikosea kutaja kiasi ila hizo km zpoSasa billion 3 zitawezaje kujenga kilometers 53?
Huwezi linganisha hilo jengo na hii shopping mall inayojengwa Bukoba...majengo ya aina hiyo yako mengi sana Bukoba hadi kahama huko..Haya makambako HiYo shopping mall na inajengwa na mtu binafsi na bado floor zinaendelea kuongezeka nguvu ya pesa na kuweka mji kibiashara zaidi
View attachment 2696668View attachment 2696669
Nikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...Haya makambako HiYo shopping mall na inajengwa na mtu binafsi na bado floor zinaendelea kuongezeka nguvu ya pesa na kuweka mji kibiashara zaidi
View attachment 2696668View attachment 2696669
Nikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...
Plus future slums zinatengenezwa kwa kas
HAhaha na bado Wacha kazi iendelee utaelewa tuNikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...
Plus future slums zinatengenezwa kwa kasi...![]()
![]()
Labda slum za bukoba huku tunaonesha umwamba WA pesa sio kutegemea mashirika ya kidini ndo yawafikilie kumbuka HiYo inakwenda juu zaidi ya gorofa Tano na tayari floor ya chini Ina maduka zaidi ya 70 kumbi ofisi ,hotel nkNikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...
Plus future slums zinatengenezwa kwa kasi...
#IceFmHabariNikipita makambako...bado hakuna muonekano wa kimji....hata towm hapaeleweki ni wap...hata stendi ya hapo ina vumbi hatari...
Plus future slums zinatengenezwa kwa kasi...
Hivi mtu wa bukoba unajichetua akili eti unacheka stendi ya makambako na kahama kwani bukoba Kuna standi
HAHAha shopping mall Zina designiwa kwa mitindo mingi et majengo haya yapo sehemu nyingi najua siku moja utakuja ujifunze na kumbuka mji wa makambako umeanza mwaka 2012 Leo hii tayar watu wanawekeza project kubwa kama hiz na bukoba ni miongoni mwa miji mikongwe Leo hii inaanza kujisifia na project kama hiz kweli mkoa wa njombe watu wanapesa na kwa nchi yetu mall nyingi zipo kwenye majiji na ni baadhi kama dsm ,Arusha ,mwanza na dodomaHuwezi linganisha hilo jengo na hii shopping mall inayojengwa Bukoba...majengo ya aina hiyo yako mengi sana Bukoba hadi kahama huko..
Hii ni shoppinga mall kabisa na itakuwa na wafanya biashara zaidi 500...View attachment 2696827
Nani kasema Bukoba kuna stendi?Hivi mtu wa bukoba unajichetua akili eti unacheka stendi ya makambako na kahama kwani bukoba Kuna standi
UNani kasema Bukoba kuna stendi?
Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...
Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?
Vigezo vya manispaa vipo wazi angalia alafu iangalie miji ya njombe kama haijakidhi hivyo vigezo na kupitiliza kabisaNani kasema Bukoba kuna stendi?
Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...
Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?
TuMe kwambia Wacha pesa iongee tutaelewana tu na ukongwe wenu ili takiwa muanze kutunishiana misuri Na majiji kama mwanza ,Arusha , mbeya ,Dodoma chaajabu mnatuletea project ambazo zinafanyika kwenye miji iliyo Anza 2012 hii ni aibuNani kasema Bukoba kuna stendi?
Acha kupaniki...mimi nimeongea uhalisia wa makambako...ule mji ni future slum tu...
Nami nikikuuliza huko njombe sijui makambako kuna Airport? Kuna mji wowote hata wenye hadhi ya municipality?