Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
You're such a dumb ...Kwa hyo wew Kwa akili zako unajua mall ni super market tu ......nenda kujifunze maana ya mall ndo uje tujadili hapaJinga kweli mall ni duka tuu ambalo unaweza pata mahitaji mengi hasa ya ndani eneo Moja.
Huo ulazima sijaiona maana ni utamaduni pia.
Mwisho huna Cha kunifundisha kwenye mall maana Mimi nimefanya kazi pale Uchumi Super Market Mtava na Segerea kipindi zipo.


