Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huyo anaejenga Mall Bukoba nadhani ana hela za kuchezea
Wana vyumba na ofisi 300 lakini hadi sasa kuna maombi zaidi ya 800 tena zaidi 60% ni kutoka nje ya bukoba na 100 wakiwa waganda...


Ungejua location ya hio mall ungeshabook room poa...

Nyie si mnataka wahaya wawekeze kwao...wakiwekeza mnasema ana hela za kuchezea

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Kinachoonekana hapo mbele ni hiki hapa 👇
IMG_20230630_143650_010.jpg
images (1).jpg

😂😂😂
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewataka Wafanyabiashara wa Makambako mkoani humo kufanya biashara saa 24 kwa kuwa hakuna atakaewafungia biashara zao.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa viongozi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa ambao walikuwa na ziara mkoani humo, Mtaka amewahimiza Wafanyabiashara wa mkoa huo kutumia fursa ya makutano ya barabara ya Makambako inayounganisha mikoa ya Songea, Mbeya na nchi jirani ya Msumbiji kufanya biashara.

"Hapa Makambako ni lango la biashara. Fanyeni biashara saa 24. Hakuna mtu atakayefunga biashara ya mtu, hayupo. Kama Mfanyabiashara ana tatizo na mamlaka yeyote ya Serikali ataendelea kufanya biashara yake na tatizo lake litatatuliwa wakati biashara ile inafanya kazi na tumeongea na wenzetu wa TRA tumekubaliana kama kuna changamoto na wafanyabiashara wetu tutakaa nao. Hakuna polisi wala mgambo atakayekuja kukutisha, tembeeni kifua mbele".Amesema Mtaka
1688406529972.jpg
FB_IMG_16827025240705409.jpg
 
Serikali mkoani Njombe kupitia wakala wa Hifadhi ya Taifa ya #Chakula ( NFRA) Makambako imekusudia kuanza kununua mahindi kwa wakulima kwa kiasi cha shilingi elfu moja na mia moja kwa kilo moja ifikapo Julai 5 mwaka huu, huku ikiahidi kuwafikia wakulima kila wilaya.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka wakati akitoa salamu za mkoa katika mkutano wa Umoja wa jumuiya ya Wanawake Taifa ambao umefanyika uwanja wa Polisi mjini Makambako.chini ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Mary Chatanda.

Aidha Mtaka amewataka wananchi kuwafichua wafanyabiashara ambao wanajihuisisha na vitendo vya ubadhirifu hasa kwenye mbolea za ruzuku.
#kingsfmradio #jisikiemfalme #NipoTayari
1688488174530.jpg
 
Back
Top Bottom