Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba inakuwa kimya kimya...

New plaza in town...Kitwe plaza...

Hata sijui ujenzi wake ulianza lini...this year lazima niende Bukoba aisee...
Screenshot_20230716-143542.jpg
Screenshot_20230716-143607.jpg
Screenshot_20230716-143617.jpg
Screenshot_20230716-143639.jpg
Screenshot_20230716-143648.jpg

View attachment 2689904
 
Kabla haja gusa mkoa WA ruvuma ataanza na makambako kwa mkoa wa njombe
IMG-20230720-WA0008.jpg
1689809927242.jpg
1689785728521.jpg
IMG_20230716_114141_782.jpg
IMG_20230716_113021_625~2.jpg
1689178068431.jpg
FB_IMG_16870681531546637.jpg
FB_IMG_16840315451143779~2.jpg
IMG_20230716_114139_178.jpg
 
Attachments

  • 1689785728521.jpg
    1689785728521.jpg
    46.6 KB · Views: 12
  • IMG_20230716_114141_782.jpg
    IMG_20230716_114141_782.jpg
    666.3 KB · Views: 10
Haya Sasa makambako inakwenda kuwa na lami Kila Kona 👇👇👇👇BILIONI 3.2 ZAIWEZESHA TARURA KUJENGA KILOMITA 51.28 ZA BARABARA MKOANI NJOMBE - Mhe. Ndejembi

Na: James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI)

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Serikali ya Awamu ya Sita katika Mwaka wa Fedha 2022/23 ilitenga bilioni 3.2 zilizoiwezesha TARURA kujenga barabara za kiwango cha lami zenye urefu wa kilomita 51.28 mkoani Njombe.

Mhe. Ndejembi amesema hayo akiwa katika Halmashauri ya Mji Makambako, mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango kumpatia fursa ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo.

Mhe. Ndejembi amesema, kabla Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani TARURA ilitengewa shilingi bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa barabara mkoani Njombe, na kuongeza kuwa Mhe. Rais aliongeza bajeti iliyofikia shilingi bilioni 3.2 ili kuongeza wigo wa ujenzi wa barabara mkoani humo.

“Mhe. Makamu wa Rais katika kilomita 51.28 za barabara zilizojengwa mkoani Njombe wananchi wa hapa Makambako wamenuifa na kilomita 12 zilizojengwa katika mji huu wa Makambako,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Mhe. Ndejembi ameongeza kuwa, katika mwaka huu wa fedha 2023/24 Serikali imetenga bilioni 1 kwa ajili ya kujenga barabara za kiwango cha lami ambazo zitawekewa taa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako.

Aidha, Mhe. Ndejembi amesema katika mwaka wa fedha 2021/22 Halmashauri ya Mji wa Makambako ilipokea zaidi ya shilingi milioni 470 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Kitisi.

Sanjali na hilo, Mhe. Ndejembi amesema katika kata ya Kitandililo Serikali imeleta milioni 583 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari na inaendelea na ujenzi wa kituo cha afya ambacho kimetengewa milioni 250 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wake.
 
Haya Sasa makambako inakwenda kuwa na lami Kila Kona BILIONI 3.2 ZAIWEZESHA TARURA KUJENGA KILOMITA 51.28 ZA BARABARA MKOANI NJOMBE - Mhe. Ndejembi

51.28Km kwa B 3.2 yaani 62M inajenga 1km ya lami. Ama mim ndo sielew
 
Back
Top Bottom