Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Sisi tuliwapa maeneo tajiri ya lamadi, busega, tulimega kutoka Magu, bila hayo maeneo simiyu ingekuwa kama katavi kwa umasikini na bado naona ni mkoa masikini kaliba ya katavi na lindi.Simiyu inatuangusha sana ....huo mkoa haukujiandaa urudishwe Mwanza [emoji16][emoji16][emoji16]