UsinisumbueResend link
Endelea kukenua.
Watu wa mbeya ni washamba sana .njia nne nazo ni za kushangiliwa enzi hizi....Endelea kukenua.
Nanenane Kitaifa miaka 3 mfululizo Mbeya
Wizara inaandaa Master plan ya Uwanja wa Nanenane Mbeya Ili uwe na viwango vya Kimataifa.
Mgeni Rasmi mwaka huu ni mh.Rais
Mwisho Rais atakuja kuweka Jiwe la msingi ujenzi wa Barabara njia 4




🤣🤣🤣🤣🤣🙏😃😃😆😆😆😆
Hapo karibia mikoa yote ...Yaani hapa list haijakamilika,hayo yote yanaanzia Safari Mbeya, mengine yamegawanyika Makambako.
Kila Mkoa Kuna bus za Mbeya kasoro Musoma,Kigoma, Bukoba na Kahama&Baridi na sijui Kwa nini hakuna Bus la Kahama-Mbeya..Hapo karibia mikoa yote ...
Sasa nikilete list ya mwanza kwenye majiji yote tanzania utakaa humu au nianze
Ruti ya Tanga Kufata nini sasa huko.....au mtwara Kuna nini makorosho auKila Mkoa Kuna bus za Mbeya kasoro Musoma,Kigoma, Bukoba na Kahama&Baridi na sijui Kwa nini hakuna Bus la Kahama-Mbeya..
Kigoma,Bariadi na Musoma ni kwa vile Barabara sehemu kubwa ni Vumbi..
Ila.nyie Mwanza Hamtakaa muwe na route ya Tanga wala Mtwara.


Leta list ya mbeyaWasukuma na ustaarabu wapi na wapi? Ndio maana mnashindwa kwenda Tanga na Mtwara..Ruti ya Tanga Kufata nini sasa huko.....au mtwara Kuna nini makorosho au
Mwanza to Arusha to Kilimanjaro
sangiwa exp
Isamilo
Kapricon
Kiazi kitamu
Asante rabi
Raqeeb
Masalu mega
Nyehunge
Kisesa express
Mghamba
Mwanza to iringa to Mbeya/songea
Superfeo
Kapricon
Isamilo
Premier
Fikoshi
Sabuni exp
Mwanza to tabora to mpanda/rukwa
alys star
Nyehunge
Premier
Nbs
AM
Mwanza to singida to dodoma/morogoro
Satco
Bright line
Sabco
Ngasere
Malangwa
Alys star
Fikoshi
Nyehunge
Isamilo
Abood
Mwanza to dar es salaam
Katarama
Alys star
Frester
Mohsal express
Zuberi
Happy national
Alfa
Phoenix
Isamilo
Travel partner
Libanika tanzanite
Super najmunisa
Kidia one
Soon baraka express
Leta list ya mbeya
Harafu wewe ni kapuuzi hizo route za Mwanza-Iringa ni Mabasi ya Mwanza -Mbeya hayo..Ruti ya Tanga Kufata nini sasa huko.....au mtwara Kuna nini makorosho au
Mwanza to Arusha to Kilimanjaro
sangiwa exp
Isamilo
Kapricon
Kiazi kitamu
Asante rabi
Raqeeb
Masalu mega
Nyehunge
Kisesa express
Mghamba
Mwanza to iringa to Mbeya/songea
Superfeo
Kapricon
Isamilo
Premier
Fikoshi
Sabuni exp
Mwanza to tabora to mpanda/rukwa
alys star
Nyehunge
Premier
Nbs
AM
Mwanza to singida to dodoma/morogoro
Satco
Bright line
Sabco
Ngasere
Malangwa
Alys star
Fikoshi
Nyehunge
Isamilo
Abood
Mwanza to dar es salaam
Katarama
Alys star
Frester
Mohsal express
Zuberi
Happy national
Alfa
Phoenix
Isamilo
Travel partner
Libanika tanzanite
Super najmunisa
Kidia one
Soon baraka express
Hapa sijakutajia bus za Kanda ya ziwa
Na ndio maana tuna stendi mbili .hizi zote zinapaki nyegezi .sijakupa za nyamhongolo
Leta list ya mbeya
Hyo barabara ambayo hata EPC plus F imeshindwa kuiona ... inshort tunakuja mbeya kubeba utajiri wa chunya ...na ndio maana usishangae miaka 20 ijayo chunya itakuwa sukumaland ya kusini kama ilivyo leo mpanda ..Harafu wewe ni kapuuzi hizo route za Mwanza-Iringa ni Mabasi ya Mwanza -Mbeya hayo..
Subirieni Barabara ya Tabora imalizike ndio mtaanzisha Mwanza-Iringa na vibasi chakavu ila Mwanza Mbeya hata Sasa ni Mabasi mapya safi kabisa si unajua.mbeya Huwa hatupandi vitu chakavu




Kuna kapricon ya mwanza mbeya au unaongea tu bila kutumia akiliHarafu wewe ni kapuuzi hizo route za Mwanza-Iringa ni Mabasi ya Mwanza -Mbeya hayo..
Subirieni Barabara ya Tabora imalizike ndio mtaanzisha Mwanza-Iringa na vibasi chakavu ila Mwanza Mbeya hata Sasa ni Mabasi mapya safi kabisa si unajua.mbeya Huwa hatupandi vitu chakavu