Huu ndo uhalisia sasa...Watasema wanaongoza kwenye utajiri wa pesa lakini takwimu zinawakataa ..mikoa iliyoongoza Kwa miamala ya fedha kuweka na kutoa pesa
1.dar es salaam
2 Mwanza
3.arusha
Wapi iringa, mbeya [emoji28][emoji15][emoji1787][emoji1787] mnaojikuta per Capita income [emoji116]
Tushawaaambia utajiri wenu wa makadirio hauna loloteView attachment 2681296
Kidogo mwaka mlijitutumua [emoji28][emoji28][emoji28].. lakin Kwa kuwa kwenye masoko yenu ya madini hamna product tofauti na dhahabu..mmepigwa za uso ...Upande Wetu umetolewa Ruvuma wanaleta wenye njaa hao wa Katavi ,hao ni Western zone
Kagera wameizidi iringa [emoji28][emoji1787][emoji1787]Huu ndo uhalisia sasa...
Siku zote nakataa Kagera sio maskini kama wanavyotaka kutuaminisha
Kwa hiyo unalingia bil.1 au? ππππKidogo mwaka mlijitutumua [emoji28][emoji28][emoji28].. lakin Kwa kuwa kwenye masoko yenu ya madini hamna product tofauti na dhahabu..mmepigwa za uso ...
Thamani ya madini yaliyouzwa kwenye masoko ya madini ..Hadi march 2023
Lake billion 303
southern bilioni 302View attachment 2681298
Sisi hatuweki pesa banks Ili ziliwe na ccm.au unajifanya hujasoma mada yangu?Watasema wanaongoza kwenye utajiri wa pesa lakini takwimu zinawakataa ..mikoa iliyoongoza Kwa miamala ya fedha kuweka na kutoa pesa
1.dar es salaam
2 Mwanza
3.arusha
Wapi iringa, mbeya [emoji28][emoji15][emoji1787][emoji1787] mnaojikuta per Capita income [emoji116]
Tushawaaambia utajiri wenu wa makadirio hauna loloteView attachment 2681296
Mada bila takwimu na figure Huwa ni porojo kaandike upya. Hizo assumption zako Huwa sifatilii [emoji16][emoji16][emoji16]bado naendelea kuwachapa Kwa figure za BOT Hadi mkimbieSisi hatuweki pesa banks Ili ziliwe na ccm.au unajifanya hujasoma mada yangu?
Sijawahi andika mada bila ya sourceMada bila takwimu na figure Huwa ni porojo kaandike upya. Hizo assumption zako Huwa sifatilii [emoji16][emoji16][emoji16]bado naendelea kuwachapa Kwa figure za BOT Hadi mkimbie
Unadhani sijasoma Hilo topic yako ...source inazungumzia assumptionSijawahi andika mada bila ya source
Hyo figure sio bank ..hyo ni miamala ya mawakala ......kama hamweki benk Ina maana hamfanyi transactions za kununua bidhaa [emoji16][emoji16][emoji16]Sisi hatuweki pesa banks Ili ziliwe na ccm.au unajifanya hujasoma mada yangu?
Hyo figure sio bank ..hyo ni miamala ya mawakala ......kama hamweki benk Ina maana hamfanyi transactions za kununua bidhaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani transactions zinafanyika Kwa njia ya Banks?Unadhani sijasoma Hilo topic yako ...source inazungumzia assumption
Naona umeamua kupotosha Kwa Makusudi ππWatasema wanaongoza kwenye utajiri wa pesa lakini takwimu zinawakataa ..mikoa iliyoongoza Kwa miamala ya fedha kuweka na kutoa pesa
1.dar es salaam
2 Mwanza
3.arusha
Wapi iringa, mbeya [emoji28][emoji15][emoji1787][emoji1787] mnaojikuta per Capita income [emoji116]
Tushawaaambia utajiri wenu wa makadirio hauna loloteView attachment 2681296
Wapi ....Naona umeamua kupotosha Kwa Makusudi [emoji16][emoji16]
Ila Mwanza mnakomeshwaga vibaya sana na Arusha [emoji1787][emoji1787]
List Iko hivi [emoji116]
Dar
Arusha
Mwanza
Mbeya
Idadi ya agents na Namba of transactions kiufupi financial inclusion ya Arusha ni kubwa kuliko Mwanza.
Kanda ya ziwa haipoiNaona umeamua kupotosha Kwa Makusudi [emoji16][emoji16]
Ila Mwanza mnakomeshwaga vibaya sana na Arusha [emoji1787][emoji1787]
List Iko hivi [emoji116]
Dar
Arusha
Mwanza
Mbeya
Una makengeza ..eti transactions milioni 1.2 wakati Arusha milioni 1.1 ... .faida ya mawakala wengi wasio na miamala ipo wap [emoji16][emoji16][emoji16]...soma vizuriIdadi ya agents na Namba of transactions kiufupi financial inclusion ya Arusha ni kubwa kuliko Mwanza.
Watu mil.2 wanawazidi watu mil.4 proof ya umaskini uliotopea Mwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mikoa mingi tu...kagera ipo ligi moja na mbeya...Kagera wameizidi iringa [emoji28][emoji1787][emoji1787]
Mumeongoza sababu ya mauzo ya dhahabu ya mzungu ππππKanda ya ziwa haipoi
International trade tumeongoza ..wapi [emoji16] wa kasumulu ,,tumbi port na tunduma.[emoji116]
Lake imexport bidhaa zenye thamani ya bilioni 1.1 wakati kusini highland milioni 200 View attachment 2681321
Usifananishe Mbeya na hiyo takataka,tafuta wa level zenu kina Ruvuma etcMikoa mingi tu...kagera ipo pigi moja na mbeya...
Una makengeza ..eti transactions milioni 1.2 wakati Arusha milioni 1.1 ... .faida ya mawakala wengi wasio na miamala ipo wap [emoji16][emoji16][emoji16]...soma vizuri
Hiyo arrow inasomekaje?