BoT,Watu wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Hawatunzi Akina Zao Benki.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
BoT imeelezea Wasiwasi wake kutokana na uwiano usio sawa baina ya Mikoa kwenye utumiaji wa Huduma za kidedha na kuweka akina zao Banks..

Kwa Mujibu wa BoT,Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ikiwemo Mbeya Ina kiwango kidogo sana Cha watu Wanaiweka akiba Banki huku ikisema inatakiwa Elimu na utafiti kubainiaha sababu zipi zinapelekea hivyo.

My Take
Banks zinazoanza zinatakiwa kuja kufanya penetration zaidi kwenye Mikoa hii ambako watu Bado wanatunza pesa zao ndani Kwa kuchimbia chini.
 
Maisha magumu hawana Cha kuweka hata mikoa mingine watumishi tuu ndio naeahangaika na mabenk na wafanyabiashara wakubwa !! Hali ngumu sio kidogo
 
Kuweka pesa bank ni mindset tu
Mtu kapata pesa kivyake akificha anapopajua yeye ttz liko wapi 😄
 
BoT imeelezea Wasiwasi wake kutokana na uwiano usio sawa baina ya Mikoa kwenye utumiaji wa Huduma za kidedha na kuweka akina zao Banks..

Kwa Mujibu wa BoT,Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ikiwemo Mbeya Ina kiwango kidogo sana Cha watu Wanaiweka akiba Banki huku ikisema inatakiwa Elimu na utafiti kubainiaha sababu zipi zinapelekea hivyo.

My Take
Banks zinazoanza zinatakiwa kuja kufanya penetration zaidi kwenye Mikoa hii ambako watu Bado wanatunza pesa zao ndani Kwa kuchimbia chini.

mbona hata dar wahindi wanaweka pesa zao kwenye masinagogi yao?
 
Back
Top Bottom