Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Events zinazofanyika kwenye Mikoa ya wajanja.
Report inasema Iringa ni mkoa wenye watu wenye kipato baada ya Dar es Salaam

Iringa sasa
Screenshot_20230626-130137.jpg
1687773660757.jpg
 
Iringa on average not by each individual
Ndio ile mikoa watu 10 tu ndo wanachangia pato la mkoa...huku waliobaki ni maskini wa kutupwa...

Hizi nyumba unaweza zunguka muleba nzima usizione...

Compare and contrast...mkoa tajiri iringa vs mkoa maskini zaidi Kagera

1687773660757.jpg
images%20(13).jpg
 
Manispaa Ina kata 20 kata 12 tu ndo zipo town zingine vijijini duh 👇👇👇Halmashauri ya Manispaa ya Kahama inazo Kata 12 zenye sura ya Mji ambazo zina huduma ya ukusanyaji, Uzoaji na usafirishaji wa taka ngumu.

Kata hizo ni Kahama Mjini, Nyasubi, Nyahanga, Nyihogo, Malunga, Mhungula, Busoka, Zongomera, Majengo, Mhongolo, Mwendakulima na Kagongwa.

Halmashauri ya Manispaa ya Kahama katika kuimarisha Usafi wa Mazingira imefunga Mikataba na Kampuni za GIN INVESTMENT LTD, TANWASTE na KIKUNDI cha Usafi wa Mazingira NAMANGA kwa ajili ya shughuli za Uzoaji, ukusanyaji na usafirishaji wa taka ngumu pamoja na kukusanya Ada ya Tozo ya taka ngumu.

Katika kuimarisha na kuboresha Usafi wa Mazingira Halmashauri pamoja na Watoa huduma wameingia Makubariano ya Kimkataba ya Miaka 3 (Miezi 36) kuanzia Mwaka wa Fedha 2022-2023.

Halmashauri ya Manispaa Kahama inazo Sheria Ndogo za Usafi wa Mazingira zilizotungwa Mwaka 2014 na kufanyiwa maboresho Mwaka 2018.

Halmashauri ya Manispaa ya Kahama inazo siku 2 katika Mwezi za kufanya USAFI WA MAZINGIRA ambazo ni Jumamosi ya Pili ya kila Mwezi na Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi.
Aidha, kupitia Sheria Ndogo ya Halmashauri kila Mwananchi kuanzia ngazi ya Kaya, wafanya biashara na Taasisi huwajibika kufanya USAFI WA MAZINGIRA kila siku katika maeneo yao ya makazi na biashara.

Makusanyo yote hukusanywa kwa kutumia Mashine za Kielektloniki (POS).

Kamati za Maendeleo za Kata zimepewa jukumu la kusimamia Usafi wa Mazingira ngazi ya Kata pamoja na makusanyo ya Ada ya Tozo ya taka ngumu kupitia Kampuni/Vikundi vilivyopewa dhamana ya kazi hii.
 
Manispaa Ina kata 20 kata 12 tu ndo zipo town zingine vijijini duh Halmashauri ya Manispaa ya Kahama inazo Kata 12 zenye sura ya Mji ambazo zina huduma ya ukusanyaji, Uzoaji na usafirishaji wa taka ngumu.

Kata hizo ni Kahama Mjini, Nyasubi, Nyahanga, Nyihogo, Malunga, Mhungula, Busoka, Zongomera, Majengo, Mhongolo, Mwendakulima na Kagongwa.

Halmashauri ya Manispaa ya Kahama katika kuimarisha Usafi wa Mazingira imefunga Mikataba na Kampuni za GIN INVESTMENT LTD, TANWASTE na KIKUNDI cha Usafi wa Mazingira NAMANGA kwa ajili ya shughuli za Uzoaji, ukusanyaji na usafirishaji wa taka ngumu pamoja na kukusanya Ada ya Tozo ya taka ngumu.

Katika kuimarisha na kuboresha Usafi wa Mazingira Halmashauri pamoja na Watoa huduma wameingia Makubariano ya Kimkataba ya Miaka 3 (Miezi 36) kuanzia Mwaka wa Fedha 2022-2023.

Halmashauri ya Manispaa Kahama inazo Sheria Ndogo za Usafi wa Mazingira zilizotungwa Mwaka 2014 na kufanyiwa maboresho Mwaka 2018.

Halmashauri ya Manispaa ya Kahama inazo siku 2 katika Mwezi za kufanya USAFI WA MAZINGIRA ambazo ni Jumamosi ya Pili ya kila Mwezi na Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi.
Aidha, kupitia Sheria Ndogo ya Halmashauri kila Mwananchi kuanzia ngazi ya Kaya, wafanya biashara na Taasisi huwajibika kufanya USAFI WA MAZINGIRA kila siku katika maeneo yao ya makazi na biashara.

Makusanyo yote hukusanywa kwa kutumia Mashine za Kielektloniki (POS).

Kamati za Maendeleo za Kata zimepewa jukumu la kusimamia Usafi wa Mazingira ngazi ya Kata pamoja na makusanyo ya Ada ya Tozo ya taka ngumu kupitia Kampuni/Vikundi vilivyopewa dhamana ya kazi hii.
Njombe ikoje
 
KAMATI YA CCM MKOA WA SONGWE YARIDHISHWA NA UKAMILISHAJI WA AWAMU YA KWANZA YA UJENZI WA SHULE YA DKT. SAMIA S. H.

Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Songwe imefurahishwa sana na ukamilishwaji wa miundombinu katika shule ya Dkt. Samia S. H. Sekondari inayotegemewa kupokea wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwezi Agosti mwaka huu

Akizungumza June 24 2023 wakati wa ziara ya kamati ya siasa mkoani hapa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa Radwell Mwampashi amesema wanamshukuru raisi Dr Samia Suluhu Hasani kwa kutoa pesa za kujenga mradi mkubwa ambao anatamani ungekuwa mradi wa kitaifa kulingana na hadhi yake huku akiwataka viongozi wa halmashauri ya mji tunduma kushirikiana na watumishi kuhakikisha wanakamilisha mradi huo kwa wakati

Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Momba Fack Lulandala amesema wanapambana kusimamia ujenzi usiku na mchana ambapo amekuwa na utaratibu wa kutembelea mradi huo kila siku ya juma3 huku akibainisha kuwa wanatarajia kupokea wanafunzi 251 mwezi Agost wa michepuo 5 ikiwemo CBG,PCM,HKL,HGK na HGE

Shule hiyo yenye Gharama ya Tsh. 5,000,000,000/= ambapo Bilioni 4 zinatolewana Serikali kuu na Bilioni 1 imetolewa na Halmashauri ya Mji Tunduma kuunga mkono juhudi za Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan

Aidha Mhe. Mwampashi alitoa pole kwa fundi mkuu pamoja na mafundi wengine ambayo wanajenga jengo la ghorofa kwa kifo cha mmoja wa aliyekuwa fundi wa kupaua ambaye kwa bahati mbaya aliteleza na kuanguka lakini alifariki alipokuwa ampelazwa kwa matibabu

Mwenyekiti aliwasihi sana mafundi wote waendelee kuchukua tahadhari pindi wanapoendelea kutekeleza majukumu yao ili kujilinda na ajali zinazoweza kuepukika

Mwisho Mhe. Mwampashi aliwapon
FB_IMG_16877981528482583.jpg
geza wananchi wa mtaa wa namole kwa kutoa hekari 53 bure kwa ajili ya ujenzi washule hiyo kwani wameonyesha mmfano wa kuigwa ka
FB_IMG_16877981598193222.jpg
tika kuiunga mkono serikali ya Chama cha Mapinduzi
 
KAMATI YA CCM MKOA WA SONGWE YARIDHISHWA NA UKAMILISHAJI WA AWAMU YA KWANZA YA UJENZI WA SHULE YA DKT. SAMIA S. H.

Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Songwe imefurahishwa sana na ukamilishwaji wa miundombinu katika shule ya Dkt. Samia S. H. Sekondari inayotegemewa kupokea wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwezi Agosti mwaka huu

Akizungumza June 24 2023 wakati wa ziara ya kamati ya siasa mkoani hapa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa Radwell Mwampashi amesema wanamshukuru raisi Dr Samia Suluhu Hasani kwa kutoa pesa za kujenga mradi mkubwa ambao anatamani ungekuwa mradi wa kitaifa kulingana na hadhi yake huku akiwataka viongozi wa halmashauri ya mji tunduma kushirikiana na watumishi kuhakikisha wanakamilisha mradi huo kwa wakati

Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Momba Fack Lulandala amesema wanapambana kusimamia ujenzi usiku na mchana ambapo amekuwa na utaratibu wa kutembelea mradi huo kila siku ya juma3 huku akibainisha kuwa wanatarajia kupokea wanafunzi 251 mwezi Agost wa michepuo 5 ikiwemo CBG,PCM,HKL,HGK na HGE

Shule hiyo yenye Gharama ya Tsh. 5,000,000,000/= ambapo Bilioni 4 zinatolewana Serikali kuu na Bilioni 1 imetolewa na Halmashauri ya Mji Tunduma kuunga mkono juhudi za Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan

Aidha Mhe. Mwampashi alitoa pole kwa fundi mkuu pamoja na mafundi wengine ambayo wanajenga jengo la ghorofa kwa kifo cha mmoja wa aliyekuwa fundi wa kupaua ambaye kwa bahati mbaya aliteleza na kuanguka lakini alifariki alipokuwa ampelazwa kwa matibabu

Mwenyekiti aliwasihi sana mafundi wote waendelee kuchukua tahadhari pindi wanapoendelea kutekeleza majukumu yao ili kujilinda na ajali zinazoweza kuepukika

Mwisho Mhe. Mwampashi aliwaponView attachment 2669651geza wananchi wa mtaa wa namole kwa kutoa hekari 53 bure kwa ajili ya ujenzi washule hiyo kwani wameonyesha mmfano wa kuigwa kaView attachment 2669650tika kuiunga mkono serikali ya Chama cha Mapinduzi
Kuna picha zake zingine hujaweka,hii shule Ina magorofa administration block na mabweni ya Watoto
 
Baada ya Iringa,Kituo kinachofuata Kwa Lami Vijijini kuzinduliwa ni Wanging'ombe
Screenshot_20230627-054039.jpg
 
Back
Top Bottom