ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,109
- 84,996
- Thread starter
- #16,701
Utoto huu SasaBukoba inazidi kuwa Tamu siku hadi siku...
Eco beach...usiku na MchanaView attachment 2660584View attachment 2660587

Haipiti Namtumbo,Inaingilia Lumecha,mbele kidogo ya Msamala ni Songea Mjini ila ndio hivyo Mabasi ya kutoka Songea hakuna tena Kupitia Makambako Wala Lindi.Kuna hii Barabara ya songea namtumbo kidatu hadi mikumi inaenda kupunguza gari nyingi kupitia njombe hii ni short cut ko gari za dsm au moro zitapita njia hii 👇👇 SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI WA BARABARA YA LAMI LUMECHA RUVUMA HADI KIDATU MOROGORO
Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami.
Mikataba hiyo imehusisha Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Mpepo – Londo – Lumecha/ Ruvuma, Arusha – Kibaya – Kongwa Construction Of Handeni – Kiberashi – Kijingu – Njoro – Olboroti Mrijo Chini – Dalai – Chambalo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida Igawa .
Nyingine ni Songwe – Tunduma Masasi – Nachingwea – Liwale Karatu – Mbulu – Hydom – Sibiti River – Lalago – Maswa Construction Of Mafinga – Mtwango – Mgololo ambapo kila mkandarasi anayehusika na mradi mkubwa, atakua na timu nne za ujenzi katika kutekeleza Mradi.
Akizungumza kwenye hafla hiyo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ameeleza kuwa Barabara hizo zitajengwa Kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC + F).
Ameeleza kuwa utaratibu huo utaendelezwa katika miradi mingine mipya inayotekelezwa kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni kuwa Makandarasi wa miradi yote saba wamepatikana na kueleza kuwa mara mradi huo utakapo kamilika utasaidia kufungua fursa za kiuchumi katika maeneo zinapopita na kwa Taifa kwa ujumla.
Prof.Mbarawa ameeleza kuwa barabara zitakazojengwa zitapita katika Mikoa13 na kufafanua kuwa Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea yenye urefu wa kilometa 435.8 inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo.
“Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma; Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale,”amesema
Aidha amefafanua kuwa katika Mradi wa Barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) ambao utajengwa kwa njia nne (4), imepangwa barabara hiyo ifanyiwe usanifu na ujenzi utakaowezesha kuifanya njia moja kuwa ya malori tu, na yatatumia njia hiyo kwa kulipia pia, itajengwa barabara ya mchepuo (ByPass) ambayo itapita Nje ya Jiji la Mbeya.
Mbeya pangeni jiji Lenu sasa ...hii opportunity siyo ya kuchezea ......msipokuwa jiji la kisasa awamu ya mama . msahau kabisa kuendelea huko mbeleKuna hii Barabara ya songea namtumbo kidatu hadi mikumi inaenda kupunguza gari nyingi kupitia njombe hii ni short cut ko gari za dsm au moro zitapita njia hiiSERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI WA BARABARA YA LAMI LUMECHA RUVUMA HADI KIDATU MOROGORO
Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami.
Mikataba hiyo imehusisha Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Mpepo – Londo – Lumecha/ Ruvuma, Arusha – Kibaya – Kongwa Construction Of Handeni – Kiberashi – Kijingu – Njoro – Olboroti Mrijo Chini – Dalai – Chambalo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida Igawa .
Nyingine ni Songwe – Tunduma Masasi – Nachingwea – Liwale Karatu – Mbulu – Hydom – Sibiti River – Lalago – Maswa Construction Of Mafinga – Mtwango – Mgololo ambapo kila mkandarasi anayehusika na mradi mkubwa, atakua na timu nne za ujenzi katika kutekeleza Mradi.
Akizungumza kwenye hafla hiyo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ameeleza kuwa Barabara hizo zitajengwa Kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC + F).
Ameeleza kuwa utaratibu huo utaendelezwa katika miradi mingine mipya inayotekelezwa kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni kuwa Makandarasi wa miradi yote saba wamepatikana na kueleza kuwa mara mradi huo utakapo kamilika utasaidia kufungua fursa za kiuchumi katika maeneo zinapopita na kwa Taifa kwa ujumla.
Prof.Mbarawa ameeleza kuwa barabara zitakazojengwa zitapita katika Mikoa13 na kufafanua kuwa Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea yenye urefu wa kilometa 435.8 inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo.
“Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma; Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale,”amesema
Aidha amefafanua kuwa katika Mradi wa Barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) ambao utajengwa kwa njia nne (4), imepangwa barabara hiyo ifanyiwe usanifu na ujenzi utakaowezesha kuifanya njia moja kuwa ya malori tu, na yatatumia njia hiyo kwa kulipia pia, itajengwa barabara ya mchepuo (ByPass) ambayo itapita Nje ya Jiji la Mbeya.
Baba ujenzi Mbeya haujaisha ,bado Iwambi-Mbalizi Bypass km 6.5Mbeya pangeni jiji Lenu sasa ...hii opportunity siyo ya kuchezea ......msipokuwa jiji la kisasa awamu ya mama . msahau kabisa kuendelea huko mbele
Ndo nimewapa ushauri huu .. endeleeni kujenga frame na vibanda Kati kati ya jijiBaba ujenzi Mbeya haujaisha ,bado Iwambi-Mbalizi Bypass km 6.5
na Mbalizi-Mkwajuni-Galula-Makongolosi(km 112)
Na Makongolosi- Tabora/Singida (Barabara ya Kimkakati)
Baadae ni Mbalizi-Shigamba Hadi Tukuyu na Ileje
View attachment 2661086

Hatuna mda wa kuhangaika na vitu vya kijinga visivyo na Tija Bora hata ungesema Stand..Ndo nimewapa ushauri huu .. endeleeni kujenga frame na vibanda Kati kati ya jiji
..
Mambo kama haya mtabaki kuyasikia Kwa wenzenu View attachment 2661110View attachment 2661112
Mjifunze kupanda miti
Slum mpya inatengenezwa....
Imagine hapa ni kampuni mbili tu zinaweka headline huko latra

.... Mwanza ni sweet