Upo Sahihi naona weng wameshauri hivo na wengine wakadai ni bora ijengwe hata by pass kutoka kibena hadi stand mji mwema
Kuweka Dual Carriage kwamaeneo ya ndani ya Mji sawa ila sio njia yote..
-Serikali ikarabati hiyo Barabara yote Kwa kuipanua kama walivyosema
-Ikenge ile Barabara ya Njombe/Ramadhani Hadi Tanzam Highway
-Ikenge Barabara ya Mtwango-Nyololo/Tanzam Highway
-Njombe-Makete-Mbeya
-Njombe-Ifakara
-Itoni/Njombe-Kudewa-Manda-Mbamba Bay
Ikifanyika hivyo Barabara itakuwa safi na Wala hakuna msongamano wa Malori hapo mjini


