ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,175
- 88,130
- Thread starter
- #16,721
Wapi Kuna hoteli ya Gorofa 10?Mbeya Hanna kitu hata hotel ya ghorofa kumi hakuna
Hii hapa ni makalio Yako?
Wapi Kuna hoteli ya Gorofa 10?Mbeya Hanna kitu hata hotel ya ghorofa kumi hakuna
Imagine hapa ni kampuni mbili tu zinaweka headline huko latra [emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mwanza ni sweet
[emoji116]
Hii nane Tena utakuta ni hii hoo njoo Moro ukutane na ma hotel ya kufa mtu we kijanaWapi Kuna hoteli ya Gorofa 10?
Hii hapa ni makalio Yako? View attachment 2662583View attachment 2662584
Hayo umeyaseman....wew ..hii ni route pendwa east Africa [emoji116]Ni ujinga na upuuzi unawasbua.Ndio madhara ya ushamba na kuchelewa kuwa na vitu classic
Iko wapi? Hilo jengo Lina floor 10 sio nane sawa wewe mbu wa Morogoro?Hii nane Tena utakuta ni hii hoo njoo Moro ukutane na ma hotel ya kufa mtu we kijana
Imagine hapa ni kampuni mbili tu zinaweka headline huko latra [emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mwanza ni sweet
[emoji116]
Mbeya
Unapenda kuota ...amka Toka usingizinjSiku zote watu tuliwambia zone ya nyanda za juu kusin tulicheleweshwa ni zone yenye biashara kubwa Sasa tumepata raisi mwenye maono maana mizigo mingi ya bandari inapitwa hii Barabara hadi Sasa kunaongezeko kubwa la magari naona tanroad wameliona Hilo Sasa express way ni nyanda za juu kusini na kibaha hadi dodoma zone nyingine msubiri kidogo mfikie level za Hawa jamaa na kinachokwenda kutokea hii miji inakwenda kuungana ukitoka makambako hadi tunduma nyumba zinakwenda kuongezeka Sana Kama itakavo kuwa dsm hadi dodoma ni maeneo ambayo uwekezaji unaenda kukua zaidi na kuwa kibiashara zaidi Yani mama kacheza na maoni ya watu ya Muda mrefu sana
View attachment 2662761
Shida Iko pale pale [emoji91][emoji91][emoji116]
Shida gani Sasa wenzio lami zinatandazwa Vijijini?Shida Iko pale pale [emoji91][emoji91][emoji116]View attachment 2663579
Wamewakumbuka watu wa GeitaUnapenda kuota ...amka Toka usingizinj
Ujenzi wa barabara za vijijini unaendelea....hapa ni muleba vijijini 90km from bukobaWamewakumbuka watu wa Geita
Hiyo ni Barabara ya TanRoads sio Barabara za Vijijini za Tarura wewe mbuzi.Ujenzi wa barabara za vijijini unaendelea....hapa ni muleba vijijini 90km from bukoba View attachment 2663659
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app