Dah!!!....imebidi nicheke....Kutoka Mkoni Njombe
View attachment 2652949
Ukweli uko pale pale kwamba Mwanza na Lake Zone in General imejaa maskini Kupitia kawaida..Utasikia Mbeya Inashindana na Mwanza.... Mwanjelwa.. less than 4 km toka CBD yao UhindiniView attachment 2654123
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya sio jiji ni zizi ......ni aibu Kwa taifa Kwa jiji aina ya mbeya..Utasikia Mbeya Inashindana na Mwanza.... Mwanjelwa.. less than 4 km toka CBD yao UhindiniView attachment 2654123
Sent using Jamii Forums mobile app

majiji yanapaswa kuwa hivKwa makambako moja limesha Isha lipo kwenye finishing jingine linaendelea ko mambo ni fire Kila Kona na Tayar four way inakuja miji itazidi kushine sana bandari kavu nkKahama inakimbiza mwizi kimya kimya
On . kahama bussines complex.. construction onView attachment 2655162
Eti Hilo ndio Jiji unajivunia 😁😁Mbeya sio jiji ni zizi ......ni aibu Kwa taifa Kwa jiji aina ya mbeya..
majiji yanapaswa kuwa hivView attachment 2655240
Bora hata Waziri ameweza kujibu swali na kuweka mipango mkakati,na juhudi zinaonekana.Haya Sasa Barabara ya makambako njombe km 45 zinakwenda kuwa njia nne hii ni kutokana na ongezeko la magari na ukuaji wa miji itakuwa kama hivi makambako round about hadi wangama km 30 na kibena hadi hagafilo km 15 njia nne jml 45 Kuna sehemu zitakuwa n madaraka ya juu ma designer Wanaendelea na Jana bungeni swal la mbunge wa njombe Lili jibiwa hub
Mbunge wa Njombe mjini Deo Mwanyika ameitaka serikali kueleza ni lini itatekeleza ukarabati wa Barabara ya Njombe – Makambako ambayo ilijengwa zamani, na hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya sasa kutokana na uwepo wa shughuli nyingi za kiuchumi ambazo zinahitaji upanuzi wa Barabara hiyo, lakini pia Mwanyika ameutaja ukuaji kwa kasi wa mji wa Njombe kuwa sababu ya uhitaji wa Barabara pana zaidi.
Akijibu swali hilo Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, amesema kuwa serikali inatafuta fedha kutoka katika vyanzo mbalimbali ili kutekeleza ukarabati wa Barabara hiyo ambayo inaunganisha mkoa wa Ruvuma, ikiwa na jumla ya kilomita 265 huku akiahidi kuwa upanuzi wa Barabara ya Njia nne kuanzia Kibena hadi Hagafilo ufanyika wakati serikali ikitafuta pesa za ukarabati wa Barabara nzima ili kutatua tatizo la ufinyu wa Barabara hiyo katika mji wa Njombe, ambayo haikidhi mahitaji kwasasa kutokana na ukuaji wa mji huo.
#kingsfmradio #jisikiemfalme #NipoTayari

?Haya Sasa Barabara ya makambako njombe km 45 zinakwenda kuwa njia nne hii ni kutokana na ongezeko la magari na ukuaji wa miji itakuwa kama hivi makambako round about hadi wangama km 30 na kibena hadi hagafilo km 15 njia nne jml 45 Kuna sehemu zitakuwa n madaraka ya juu ma designer Wanaendelea na Jana bungeni swal la mbunge wa njombe Lili jibiwa hub 👇👇👇
Mbunge wa Njombe mjini Deo Mwanyika ameitaka serikali kueleza ni lini itatekeleza ukarabati wa Barabara ya Njombe – Makambako ambayo ilijengwa zamani, na hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya sasa kutokana na uwepo wa shughuli nyingi za kiuchumi ambazo zinahitaji upanuzi wa Barabara hiyo, lakini pia Mwanyika ameutaja ukuaji kwa kasi wa mji wa Njombe kuwa sababu ya uhitaji wa Barabara pana zaidi.
Akijibu swali hilo Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, amesema kuwa serikali inatafuta fedha kutoka katika vyanzo mbalimbali ili kutekeleza ukarabati wa Barabara hiyo ambayo inaunganisha mkoa wa Ruvuma, ikiwa na jumla ya kilomita 265 huku akiahidi kuwa upanuzi wa Barabara ya Njia nne kuanzia Kibena hadi Hagafilo ufanyika wakati serikali ikitafuta pesa za ukarabati wa Barabara nzima ili kutatua tatizo la ufinyu wa Barabara hiyo katika mji wa Njombe, ambayo haikidhi mahitaji kwasasa kutokana na ukuaji wa mji huo.
#kingsfmradio #jisikiemfalme #NipoTayari
Ila hiki kimji ni kibaya sana ,Sasa hapo Kuna nini?Kahama inakimbiza mwizi kimya kimya
On . kahama bussines complex.. construction onView attachment 2655162
Ujenzi wa Lecture Theatre and Office ukiendelea Catholic University Mbeya 👇Nyanda za juu kusin Kila mji upo busy na project huu ni mji wa kitalii iringa
View attachment 2650089