ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,109
- 85,005
Miji yote ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini ni ya ovyo sana.Utasikia Mbeya Inashindana na Mwanza.... Mwanjelwa.. less than 4 km toka CBD yao UhindiniView attachment 2654123
Sent using Jamii Forums mobile app
Nioneshe kiwanda Cha Magodoro hapo Mwanza is big slum 😜😜Mbeya sio jiji ni zizi ......ni aibu Kwa taifa Kwa jiji aina ya mbeya..
majiji yanapaswa kuwa hivView attachment 2655240
Njombe mna ndoto za mchana aisee .
Kuweka Dual Carriage kwamaeneo ya ndani ya Mji sawa ila sio njia yote..
-Serikali ikarabati hiyo Barabara yote Kwa kuipanua kama walivyosema
-Ikenge ile Barabara ya Njombe/Ramadhani Hadi Tanzam Highway
-Ikenge Barabara ya Mtwango-Nyololo/Tanzam Highway
-Njombe-Makete-Mbeya
-Njombe-Ifakara
-Itoni/Njombe-Kudewa-Manda-Mbamba Bay
Ikifanyika hivyo Barabara itakuwa safi na Wala hakuna msongamano wa Malori hapo mjini


..Kwa akili zenu mama Samia atawajengea dual carriage...wait 2040Endeleeni kuota huku wenzenu wakizidi kuinua magorofa..Miji yote ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini ni ya ovyo sana.
Jiji linajenga ghorofa moja kila mwaka sasa hili ni jiji au DCEndeleeni kuota huku wenzenu wakizidi kuinua magorofa..
Go Mbeya Go 👇
Kabwe-Mwanjelwa New CBD View attachment 2655892View attachment 2655893View attachment 2655895View attachment 2655901
Magorofani karibu na Mzumbe University 👇View attachment 2655897View attachment 2655898
Kwa hiyo hiyo ni gorofa Moja? Huu ni wivu 😁😁Jiji linajenga ghorofa moja kila mwaka sasa hili ni jiji au DC
MavumbiKwa hiyo hiyo ni gorofa Moja? Huu ni wivu
Hizo ziko barabara kuu nilipiga Kwa fasta fasta wakati Napita kwenye Bus,hujaenda Mjini Wala Mtaani.
Hapa ni CUCoM Mafiat ujenzi unaendeleaView attachment 2655908



Achana na mabweni, leta commercial building angalau 3 zinazojengwaKwa hiyo hiyo ni gorofa Moja? Huu ni wivu 😁😁
Hizo ziko barabara kuu nilipiga Kwa fasta fasta wakati Napita kwenye Bus,hujaenda Mjini Wala Mtaani.
Hapa ni CUCoM Mafiat ujenzi unaendelea 👇View attachment 2655908
Hivi hapo Juu nime post buildings ngapi?Achana na mabweni, leta commercial building angalau 3 zinazojengwa
Sasa gorofa Huwa inajengwa kwenye lami? 😆😆Mavumbi![]()
Daraja la TAIFA .hiv Mara ya mwisho raisi kuja mbeya alikuja kufanya niin



Vijiji vya mkoa maskini Zaidi Tanzania kadri ya NBSDaraja la TAIFA .hiv Mara ya mwisho raisi kuja mbeya alikuja kufanya niin
Oh kwenye maonyesho ya nane nane View attachment 2656462

....Unatafutuza vijumba 2 au 3 unakuja na picha 😆😜Vijiji vya mkoa maskini Zaidi Tanzania kadri ya NBS....
Muleba vijijini 70 km out of bukoba
Hawa watu wanajengaje hiz nyumba Kali vijijini wakati hawapati hata 1000 kwa siku?
View attachment 2656489View attachment 2656490View attachment 2656491View attachment 2656492
Wenzenu wanaonesha miradi mipya nyie mnahangaika na kamradi kamoja miaka na miakaDaraja la TAIFA .hiv Mara ya mwisho raisi kuja mbeya alikuja kufanya niin
Oh kwenye maonyesho ya nane nane View attachment 2656462