Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Ana wivu na kagera lakini ana chuki kubwa sana na Mwanza😂😂😂Ana wivu na watu wa mkoa wa Kagera.
Tangu lini amewahi kumuona mtu wa Bukoba ameenda Kigoma kutafuta kibarua cha kulima au kuchunga ng'ombe kama ndg zake waliojazana huku mashambani?