Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nipo huku nyanda za juu kusini watu vijijini wanatumia usafiri wa punda
Kati Ya mnyama adim kwa nyanda za juu kusin bas ni punda mzee na nyanda za juu kusin now maeneo mengi ni mkeka gari ni nyingi mno ko achen kutafuta tatizo liko wap wakati chalamila Alisha wambia shida yenu ni nn waachen nyanda za juu kusin wapige Kaz ndo maana Mikoa yao ipo kwenye 10 Bora za utajir Hali ya hewa inaruhusu ,miundombinu mizuri pia wenyewe wanapenda maendeleo sio kuishi kwa kujisifia wakati ndugu zako wanakufa njaa
 
Kwa hiyo punda mnaofuga wote hawa wa nini?? Nikipata fursa ntawapiga picha. Kagera haitakaa ife njaa, leta ushahidi wa kuonesha Kagera wana njaa
 
Kama ni maskini ni maskini tu Haina haja ya kutafuta huruma za watu utafiti umeshaonyesha hivyo na ww nenda kafanye utafiti wako uwaaminishe watanzania kua Kagera sio masikin ila Kwa Sasa tunacho jua mkoa masikin case study ni Kagera full stop
Tuache data za kupikwa za per capita kwanza mbona vijiji vyenu hivi vya ujamaa vimepauka sana??
 
Kama ni maskini ni maskini tu Haina haja ya kutafuta huruma za watu utafiti umeshaonyesha hivyo na ww nenda kafanye utafiti wako uwaaminishe watanzania kua Kagera sio masikin ila Kwa Sasa tunacho jua mkoa masikin case study ni Kagera full stop
Ndo nipo huku natembelea vijiji vyenu nafanya utafiti wa kuona kwa macho sio wa ofisini naona watu wanaishi nyumba moja na punda wamepaushwa na jua na baridi kali
 
Kwa nini zipikwe Kwa Kagera tuu?

Sasa kwetu Kuna nafuu kuliko Kagera,kule sio tuu kumepauka Bali kumepatwa na ufukara
VIP nyingine
IMG-20230607-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom