ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,179
- 85,044
Fikeni hapa kwanza 👇Na mwezi wa Nane MV Mwanza inakuwa tested kwenda Bukoba.....
Bado hii mv Victoria haitoshi...
Watu wanauza hizo ndizi ambao karibia 69% ya ndizi zote nchini zinatoka mkoa huu wa kagera
Wanauza ndizi wanajenga nyumba bora na kusomesha watoto wao...hebu angalia Concentration ya English medium huko Bukoba hadi vijijini kabisa...
HALAFU MTU MMOJA ANASEMA WASOMI NI WENGI NA WAKATI HUO HUO ELIMU NI DUNI...sasa wasomi walisomea kwenye ndizi au vip View attachment 2645966

Yaani Zito bwana yaani waha ndugu zake tunawapokea huku bukoba kila siku wamechoka na maisha tunawapa vibarua angalau wapate chakula. Mwambie aje bukoba na ndugu zake wajifunze kujenga nyumba nzuri. Kagera ina ghorofa 700+ kigoma kwa matajiri zipo ngapi??Kwenye takwimu za mapato ya halmashauri ambako ndo uchumi wa wananchi wa chini Kagera bado inafanya vizuriSijui wanatumia vigezo gani kujua kiwango cha umasikini kwa mkoa wa Kagera.
Hii ni sumu ambayo imepandikizwa kwa watu wengi ,wengine wanasema tu pasipo kufika na kujionea hali halisi.
Kitu kingine mbona huu mkoa ndio watu wanaupigia kelele kuhusu umasikini kuliko mikoa mingine, na hapo hapo hatuoni jitihada zozote zikifanyika kuondoa huo umasikini?
Sababu za umasikini wanazitaja ambazo ni kipato kwa kila mwananchi kulinganisha na mikoa mingine, wakati huo huo wanaongoza kuzalisha bidhaa nyingi hapa Tanzania, mapato yao yanakwenda wapi?
Kama sababu zinajulikana, kwanini wasije na mipango mkakati/mikakati kuondoa huo umasikini? Kama hawana maana yake hakuna tatizo au matatizo yao ni sawa na ya mikoa mingine.
Sababu nyingine ya umasikini eti ni stend ya mkoa, zimetolewa pesa kujenga,lakini ni pesa kidogo bilioni moja itajenga kweli?Mikoa mingine mbona wanapewa kuanzia 10b hadi 20?
Labda mtu aseme maendeleo ya mkoa wa Kagera yanatakiwa kuwa makubwa zaidi yalivyo sasa hivi kwa kuwa kuna rasilimali nyingi na ukanda mzuri wa kuwa karibu na nchi jirani nne.
Ila hizi blah blah nyingine za umasikini,stend na soko,ukabila nazipinga.
Jamaa mpuuzi hata kwenye shule Kagera inazo nyingi mno na bado ufaulu uko juu. Zitto ni bwege aliyeishiwa hoja za kisiasa akienda Kagera na mentality hiyo watamfukuza atafute kiki nyingine sio hizoNa mwezi wa Nane MV Mwanza inakuwa tested kwenda Bukoba.....
Bado hii mv Victoria haitoshi...
Watu wanauza hizo ndizi ambao karibia 69% ya ndizi zote nchini zinatoka mkoa huu wa kagera
Wanauza ndizi wanajenga nyumba bora na kusomesha watoto wao...hebu angalia Concentration ya English medium huko Bukoba hadi vijijini kabisa...
HALAFU MTU MMOJA ANASEMA WASOMI NI WENGI NA WAKATI HUO HUO ELIMU NI DUNI...sasa wasomi walisomea kwenye ndizi au vip View attachment 2645966
Ana wivu na watu wa mkoa wa Kagera.Jamaa mpuuzi hata kwenye shule Kagera inazo nyingi mno na bado ufaulu uko juu. Zitto ni bwege aliyeishiwa hoja za kisiasa akienda Kagera na mentality hiyo watamfukuza atafute kiki nyingine sio hizo
Ana wivu na watu wa mkoa wa Kagera.
Tangu lini amewahi kumuona mtu wa Bukoba ameenda Kigoma kutafuta kibarua cha kulima au kuchunga ng'ombe kama ndg zake waliojazana huku mashambani?


Mi niko bukoba huku waha tunawachanganya na warundi tunawapa kazi za mashambaniNa ndipo jina la Washuti lilipotokea, watu wasiojielewa na wanaoishi pembezoni mwa shamba huwa hawachangamani na Wahaya.Mi niko bukoba huku waha tunawachanganya na warundi tunawapa kazi za mashambani



Stand mbaya Kwa muonekanoUnajifanya huoni
Endelea kusubiri tacticsView attachment 2646724View attachment 2646725View attachment 2646726
WivuuuStand mbaya Kwa muonekano
Naona chuma ya Mbeya hapo Premier



Something fish is going on kwenye kuuita mkoa wa kagera una GDP ndogo...na hatimaye kuuita Maskini....Na ndipo jina la Washuti lilipotokea, watu wasiojielewa na wanaoishi pembezoni mwa shamba huwa hawachangamani na Wahaya.
Aongee kidogo asili yake tunaijua vizuri![]()