Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

caption(0).jpg
 
Kitombile Mikdde Mapank

Mahitaji ya BRT Kwa Majiji ya Tanzania Kwa.mujibu wa DART.

-Mbeya km 56 ,uhitaji 95%
-Mwanza km 31 uhitaji 90%
-Tanga km 35 Uhitaji 88%
-Dar ,Eneo lote Uhitaji 85%
-Dodoma km 52,Uhitaji 80%
-Arusha Km 14.4, Uhitaji Asilimia 70%

Mpaka hapo Jiji kubwa limejulikana 😆😆
Kama DART hawataenda Kisiasa na wakafuata Mpango biashara ni wazi baada ya Dar ,mradi wa Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya View attachment 2634482
Kwan wazir wa Ujenzi ni nan?, automatically sector ya Ujenzi wanamfuata yeye Tanzania bhana
 
Hivi mtwango ipo Katikati ya Njombe na Makambako au?
Hii ni ya mufindi dc Unaingilia nyororo inaamaana ndo junction na wanayojenga kutoka mafinga kwenda mgororo hii ni shortcut ya wakazi wa mufindi kwenda makambako Haina haja Sasa ya kuzungukia mafinga imeukwepa msitu wa Sao hill
 
Okie ila watakuwa wanajenga watu wa TanRoads Kwa pesa ya devo,Mimi nilidhani ni Ile kubwa inayopita huko Sao hill maana ndio itajengwa Kwa EPC plus F..

Nachoumiza hii inayopita Sao hill haitoboi Njombe? Yaani haipiti Mtwango?
 
HaPana hii ni Mtwango Kata iliyoko mufindi dc inaenda kuungana na HiYo ya mafinga mgololo Ina pita igowole ya Mtwango njombe Ile inaanzia iWe
Okie ila watakuwa wanajenga watu wa TanRoads Kwa pesa ya devo,Mimi nilidhani ni Ile kubwa inayopita huko Sao hill maana ndio itajengwa Kwa EPC plus F..

Nachoumiza hii inayopita Sao hill haitoboi Njombe? Yaani haipiti Mtwango?
Hapana ila inaenda kuungana nayo mtwango ndo junction mtwango ya mkoa wa Njombe pale wanajenga ya itulahumba had igwachanya na mtwango hadi lupembe kupitia mradi wa Agri connect lengo wamelenga kuunganisha maeneo ya uzalishaji na soko wame target soko la mazao lililo jengwa makambako kwa Sasa wapo hatua ya uezekaji
Okie ila watakuwa wanajenga watu wa TanRoads Kwa pesa ya devo,Mimi nilidhani ni Ile kubwa inayopita huko Sao hill maana ndio itajengwa Kwa EPC plus F..

Nachoumiza hii inayopita Sao hill haitoboi Njombe? Yaani haipiti Mtwango?
H
 
Back
Top Bottom