Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe katika ubora
 
Attachments

  • Screenshot_20230525-115009.png
    Screenshot_20230525-115009.png
    298.8 KB · Views: 8
Kitombile Mikdde Mapank

Mahitaji ya BRT Kwa Majiji ya Tanzania Kwa.mujibu wa DART.

-Mbeya km 56 ,uhitaji 95%
-Mwanza km 31 uhitaji 90%
-Tanga km 35 Uhitaji 88%
-Dar ,Eneo lote Uhitaji 85%
-Dodoma km 52,Uhitaji 80%
-Arusha Km 14.4, Uhitaji Asilimia 70%

Mpaka hapo Jiji kubwa limejulikana 😆😆
Kama DART hawataenda Kisiasa na wakafuata Mpango biashara ni wazi baada ya Dar ,mradi wa Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya
20230525_095038.jpg
 
Songwe itakuwa fire 🔥🔥🔥
Vwawa Bypass
Tunduma Bypass
Vivuko vya chini
Kituo Cha Pamoja Cha Ukaguzi
Miradi ya Barabara za lami za Kitaifa
 
Kitombile Mikdde Mapank

Mahitaji ya BRT Kwa Majiji ya Tanzania Kwa.mujibu wa DART.

-Mbeya km 56 BRT,uhitaji 95%
-Mwanza km 31 uhitaji 90%
-Tanga km 35 Uhitaji 88%
-Dar ,Eneo lote Uhitaji 85%
-Dodoma km 52,Uhitaji 80%
-Arusha Km 14.4, Uhitaji Asilimia 70%

Mpaka hapo Jiji kubwa limejulikana
Kama DART hawataenda Kisiasa na wakafuata Mpango biashara ni wazi baada ya Dar ,mradi wa Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya View attachment 2634482
Wanaangalia miundombinu..na changamoto ya usafiri........ huwezi sema mbeya iwe na uhitaji wa brt kuliko dar ...then why imeanzia dar na sio mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaangalia miundombinu..na changamoto ya usafiri........ huwezi sema mbeya iwe na uhitaji wa brt kuliko dar ...then why imeanzia dar na sio mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😁😁😁 Nasikia harufu ya wivu ,
Sasa wewe utakuwa ni mjinga,Dar baada ya hizo phase 6 Kukamilika Changamoto yake itapungua ndio maana wameanza na Dar..

Pia Dar Ina njia nyingi Kwa Sasa na pia nyingi zinajengwa ni sawa na Dom .
Ulipeleka Dom Dart Leo huwezi pata faida kama ukipeleka Mbeya au Mwanza

Mwisho punguza wivu Mzee,Wataalamu wa Dart ndio wamefanya hiyo feasibility study wakaona sas wewe haters unatumia ego ndio tukusikilize? 😂😂😂

Ni hivi kama watafuata Mpango biashara bila siasa uchwara,baada ya Dar next brt ni Mbeya
 
Kitombile Mikdde Mapank

Mahitaji ya BRT Kwa Majiji ya Tanzania Kwa.mujibu wa DART.

-Mbeya km 56 BRT,uhitaji 95%
-Mwanza km 31 uhitaji 90%
-Tanga km 35 Uhitaji 88%
-Dar ,Eneo lote Uhitaji 85%
-Dodoma km 52,Uhitaji 80%
-Arusha Km 14.4, Uhitaji Asilimia 70%

Mpaka hapo Jiji kubwa limejulikana 😆😆
Kama DART hawataenda Kisiasa na wakafuata Mpango biashara ni wazi baada ya Dar ,mradi wa Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya View attachment 2634482
Za kuanzia, umeishavimba kichwa, unadhani hata DAR hizo zilzopo hapo ndio zimetosha???? Kigamboni - Pembamnazi unappajua??? Yaani wewe ni kiazi kweli 😛 😛 😛 😛
 
Za kuanzia, umeishavimba kichwa, unadhani hata DAR hizo zilzopo hapo ndio zimetosha???? Kigamboni - Pembamnazi unappajua??? Yaani wewe ni kiazi kweli 😛 😛 😛 😛
Kuna harufu ya wivu hapa ,Wapi nimesema zimetosha? 😂😂😂

Unajua Kwa nini Dart wameshindwa kuanza sehemu zingine?

Sheria ikibadilika na Dart wasiposhinikizwa Kisiasa basi watafuata feasibility study itakayowalipa,wataleta BRT Mbeya.

Mwanza mtaendelea kuwa mkiani tuu daily 😆😆
 
Kutoa huduma wanaangalia wahitaji au urefu wa transport corridor???? Wacha kutumia kalio kufikiri
 
Kutoa huduma wanaangalia wahitaji au urefu wa transport corridor???? Wacha kutumia kalio kufikiri
Kwa hiyo wewe na Dart tuchukue mawazo ya nani? 🤣🤣

Wakiianzia pale Airport watapata wasafiri Hadi wa VIP wanaoshuka na ndege pale Songwe..
 
Sa

Sawa DART wataanzia Mbeya
Kama hamjaleta politics uchwara na wivu lazima waanzie Mbeya..

Hata wasipoanzia Mbeya,waanze huko kwenu Ili wajenge vitu vya ajabu ajabu harafu waje kujenga vitu classic Mbeya kama njia 4 km 36*2=72
 
Kama hamjaleta politics uchwara na wivu lazima waanzie Mbeya..

Hata wasipoanzia Mbeya,waanze huko kwenu Ili wajenge vitu vya ajabu ajabu harafu waje kujenga vitu classic Mbeya kama njia 4 km 36*2=72
Umefikia hatua ya kuhamisha goli 😛 😛 😛 Itaanzia Mbeya Jiji la Pili kwa ukubwa
 
Makambako tc Kazi inaendelea baada makamPuni makubwa kuanza kuwekeza depot ,viwanda nkkwaajili ya kusiuply mizigo nyanda za juu kusin mfano dangote cement,Simba nk kazi ya kupangA masoko imeanza hii ndo maana halisi ya kuwa transport and logistic hub

FB_IMG_16850194381507570.jpg
 
Sasa Mbeya ijengwe BRT kwa mahitaji yapi asee... yaan hata vipanya tu vimetosheleza mahitaji hadi vinakosa abiria ndo wapewe BRT wakati kuna sehemu ukienda usafiri umezidiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki maneno mengi yaliyojaa wivu,kawaulize Dart kwamba Kwa nini Mbeya ijengwe BRT wakati wewe nkanziga unaona hakuna mahitaji? 😂😂
 
Back
Top Bottom