Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Mbona sioni njombe na iringa au udumavu
Mbona sioni njombe na iringa au udumavu
Si ajabu Wenye akili wako Ukewerewe nyie nyumbu wa kwimba kazi yenu kuangalia nyeti za ng'ombe 😁😁😁Mbona sioni njombe na iringa au udumavu
Unamfahamu prof mchembeSi ajabu Wenye akili wako Ukewerewe nyie nyumbu wa kwimba kazi yenu kuangalia nyeti za ng'ombe
Namba 9 ni Geita au?
Ukitaka mmja mmja hata Lindi na Rukwa wapoUnamfahamu prof mchembe
Dkt mabula je
Endeleeni kusubiri lift za Lusaka to dar ..Njombe

Lift gani tena wewe kolo?Endeleeni kusubiri lift za Lusaka to dar ..
First/end route mtabaki kuzisikia tuView attachment 2638605
Kuna ruti ya mbeya to ñairobi au mbeya Lilongwe?Lift gani tena wewe kolo?
Kwani hapo umesoma imeandikwa Dar Mwanza Lilongwe? 🤣🤣Kuna ruti ya mbeya to ñairobi au mbeya Lilongwe?
Asee ni kwel mikoa mingi hili zoez bado sana mfano nimeona limetekelezwa njombe na songwe mikoa mingine bado Zaid wamefunga makao makuu ya mkoa kwa mikoa ya nyanda za juu kusiniMkoa wa Katavi ukiacha Mpanda Mpanda Mjini,Vijiji vyote kwenye lami Kuna Taa za kutosha za barabarani,huko kwingine tulichelewa sana.