ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,114
- 85,010
- Thread starter
- #16,461
DART Wamesema baada ya Dar wanaenda Dom kama kawaida Kwa sababu tuu ni Mji MkuuUmefikia hatua ya kuhamisha goli 😛 😛 😛 Itaanzia Mbeya Jiji la Pili kwa ukubwa
DART Wamesema baada ya Dar wanaenda Dom kama kawaida Kwa sababu tuu ni Mji MkuuUmefikia hatua ya kuhamisha goli 😛 😛 😛 Itaanzia Mbeya Jiji la Pili kwa ukubwa
Umesahau ulisema inaanzia mbeyaDART Wamesema baada ya Dar wanaenda Dom kama kawaida Kwa sababu tuu ni Mji Mkuu



Uwe unaelewa ,nilisema wazi kwamba kama sio siasa na walisema wafuate potential ya biashara ingeanzia Mbeya ila kama ni siasa itaenda Dom,nao wamesema hapo Kwa sababu maalumu itaenda Dom
Hujamwona mchumi hapo kasema.. majiji mengine ni hasara Kwa sababu Kuna wachuuzi na mama ntilie kuliko dodoma na dar zenye wafanyakaziUwe unaelewa ,nilisema wazi kwamba kama sio siasa na walisema wafuate potential ya biashara ingeanzia Mbeya ila kama ni siasa itaenda Dom,nao wamesema hapo Kwa sababu maalumu itaenda Dom
Mchumi Koko aliyezaliwa na kukulia Dar anajua nini Cha Mikoani? Alivyo fala,Mbeya Ina suburb ngapi kwenye njia pendekezwa ya BRT? Aliwahi fanya hata survey? Sasa wapi wanafanya sana movements, wachuuzi au Watumishi? Hawa wajinga unakuta ni mshauri wa uchumi Serikalini 🤣🤣Hujamwona mchumi hapo kasema.. majiji mengine ni hasara Kwa sababu Kuna wachuuzi na mama ntilie kuliko dodoma na dar zenye wafanyakazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hao waliojazana kwenye mataasisi ya serikali....Mchumi Koko aliyezaliwa na kukulia Dar anajua nini Cha Mikoani? Alivyo fala,Mbeya Ina suburb ngapi kwenye njia pendekezwa ya BRT? Aliwahi fanya hata survey? Sasa wapi wanafanya sana movements, wachuuzi au Watumishi? Hawa wajinga unakuta ni mshauri wa uchumi Serikalini![]()
Majinga sana hayo mamtu.Ndio hao waliojazana kwenye mataasisi ya serikali....
Kwanza Mimi BRT isn't my cup of tea ..
mwanza wajenge dual carriage ways na waweke mfumo wa tram .....hizo BRT mbaki nazo ninyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa wa Katavi ukiacha Mpanda Mpanda Mjini,Vijiji vyote kwenye lami Kuna Taa za kutosha za barabarani,huko kwingine tulichelewa sana.Mkoa wa njombe now wameshamaliza miji mikubwa na surbtown zote ufungaji wa taa za barabarani na hapa ni ikonda
View attachment 2637487
View attachment 2637486View attachment 2637490
Kazi inaendelea ujenzi wa barabara za mitaa jimbo la ilemela...mtaa kiyungi