Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbarawa hamna kitu yule bas tu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya Mikoa inayopendelewa awamu hii bara ni Ruvuma,nimekuwa naufuatilia sana ni sekta zote wanaupa kipaombele
Screenshot_20230522-123322_1.jpg
 
Geita hiyo hapo inayoingiza bilion 700 kwa mwaka lakini hata barabara moja tu ya maana hakuna hili linchi la ovyo natamani kutukana lakin basi tu, kama hatutakiw basi waache kuchuma utajiri wetu na kujinufaishe wao na miji yao.
Imagine stendi ya magufuli pale Dar ilitumia billion 71 kujengwa...hiv wangetumia billion 18 kujenga stendi ya kawaida nzr kwa kutumia architecture nzr na ya kuvutia walishindwa nini?
Hizo billion zilizobaki wakazigawa kwenye manispaa nyingine zenye stendi mbovu kama kahama, Arusha, Bukoba nk...

Sasa ona sijui watatumia miaka mingapi kupata mapato ya kurudisha uwekezaji wote ule...


Kuna masoko kibao hapa dar hayana watu mfano magomeni, kisutu, machinga complex wamelikimbia, bwawani nk...hiv wangechagua miji kumi wakajenga soko moja moja kubwa kama lile la magomeni kungeshindikana nini?

Ok majengo yao ya PPF, Pspf, morroco square, na the like wangeyasambaza kwenye miji tofauti tofauti wangepungukiwa na nini?
 
Kama hujaona Barabara yeyote ya Mkoa wako.kwenye hii orodha basi wewe jua umedanganywa 🤣🤣
Screenshot_20230522-122047_1.jpg
 
Hongereni wana mbeya, mh kasekenya, mh Mwakibete pamoja na spika Tulia wanaupiga mwingi, huu ni wakati wenu asee.
Umemuona mwamba? Anazijua Barabara zote Tanzania,sio Kwa bahati mbaya yeye Mwenyewe.ni kichwa harafu ni amekaa TanRoads miaka ya kutosha kabla ya kwenda Kugombea Ubunge..

Huyu Jamaa Huwa hajibu maswali Kwa karatasi
 
Umemuona mwamba? Anazijua Barabara zote Tanzania,sio Kwa bahati mbaya yeye Mwenyewe.ni kichwa harafu ni amekaa TanRoads miaka ya kutosha kabla ya kwenda Kugombea Ubunge..

Huyu Jamaa Huwa hajibu maswali Kwa karatasi
Ila wanatakiwa kuwa fair sio mpka kiziwi na kipofu aone kabisa, Mwanza imebinywa kwa makusudi pia wajifunze kula na vipofu.
 
Ila wanatakiwa kuwa fair sio mpka kiziwi na kipofu aone kabisa, Mwanza imebinywa kwa makusudi pia wajifunze kula na vipofu.
Wewe nae utupumxishe , Fair ipi unaitaka? Ndio shida ya kuzoea vya dezo,hii nayo iliwatesa watu wa Arusha awamu ya Mwendazake Kwa sababu mlizoea kudhulumu
Screenshot_20230522-232240.jpg
 
Yaani jamaa anazungumzia barabara za kusini tu hovyo kabsa
Acheni ubwege nyie,hakuna Mkoa ambao hauna mradi,ametaja Barabara zote Tanzania hii mtu unaropoka tuu..

Serikali haifanyi kile mnataka,by the way mlikuwa na mtu wenu huko sijui alikuwa anafanya nini miaka yote 6 madarakani 😁😁
 
Back
Top Bottom