Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wapi Mwanza Airport? 🤣🤣
Screenshot_20230522-134826_2.jpg
 
Hii bajeti si ya Tanzania bali ni Dar na dodoma ni bora watuambie kama Mwanza haitajiki kwenye hii nchi, huu ushenzi wa kujisifu mapato ya TRA na yanaenda kujenga mikoa yenu ambayo haichangii ni bora nisilipe kodi kabisaa, naomba Mwanza tuwe wa mwisho kwenye makusanyo kuliko huu ujinga wa hili liserikali la ajabu.
Mwanza endeleeni kuteseka 😃😃

Iringa na Ruvuma
Screenshot_20230522-124915_1.jpg
 
Hata Mimi nilikuwa na Barabara zangu ila Cha ajabu hakuna hata Moja imewekewa pesa za maana ni upuuzi wa usanifu miaka na miaka..

Hii Nchi ni ya ajabu sana Haina Vipaombele..

Ila nimeona Kahama to Geita wameweka hela,Nzega to Kagongwa wameweka hela pia.
Hiyo ni pesa ya mgodi, hii serikali inachuma dhahabu za geita inaenda kujenga dual carriage za 320km huko dodoma.
 
Mimi mwenyew sipendi kurundika resources Dar pekee...nchi ina watu 60million...lakin zaidi ya nusu ya bajeti ya ujenzi ni dar pekee yenye watu 5million...

Ndo maana narudi kwenye hoja ya majimbo...au manispaa ziachwe zijiendeshe zenyew...

Ni uonevu kuchukua mapato kutoka mikoa yote na kuchukua nusu yake kufanya uwekezaji dar tu...

Imagine stendi ya bukoba ambayo ni kero ya muda mrefu kila mwaka wako wanasubiri mradi sijui tactic...mpaka imefikia hatu wanatumia billion 1 kujenga stendi ya muda...
Geita hiyo hapo inayoingiza bilion 700 kwa mwaka lakini hata barabara moja tu ya maana hakuna hili linchi la ovyo natamani kutukana lakin basi tu, kama hatutakiw basi waache kuchuma utajiri wetu na kujinufaishe wao na miji yao.
 
Hizo pesa za tactic za world bank zimepigwa na sasa wanahaha kutafuta pesa za kuanza ujenzi nazan mwezi wa nane mpka wa tisa, hii nchi ngumu sana hii kaka.
 
Japo pesa kiduchu zimetengwa ila walau wameanza

Mbeya & Njombe
Screenshot_20230522-124819_1.jpg
Screenshot_20230522-233420.jpg
 
Hizo pesa za tactic za world bank zimepigwa na sasa wanahaha kutafuta pesa za kuanza ujenzi nazan mwezi wa nane mpka wa tisa, hii nchi ngumu sana hii kaka.
Labda kama wamebadilisha matumizi au kupunguza kazi
 
Back
Top Bottom