Billion 18? Labda kuna majengo mengine...Design ya majengo ya kikomunisti

...au ni mipango miji....

Mwanza waje kujifunza Bukoba kugawa uswahili na ushuaniBUKOBA hiyo mitaa ya westlake, Miembeni na kaitaba Kwa mbali...
Ukweli usemwe Bukoba is so cool and beautiful and has beautiful neighbourhoods
Anyway sijui kwa nini watu wa Bukoba wanapenda Mapaa mekundu...au ni mipango miji....
Wap mbeyaView attachment 2621243View attachment 2621244View attachment 2621245View attachment 2621246View attachment 2621247View attachment 2621248View attachment 2621249View attachment 2621250View attachment 2621251
Malizeni Airport ya Mwanza kwanza maana ilishabakia magofu


Unaleta kajumba kamoja kamoja acha kuzinguaWestlake Bukoba hotel Bukoba....
New hotel in Bukoba found in the beautiful neighbourhoods of miembeni....
Utawaskia haters wanaiponda Bukoba kisa tu haina stendi ya mabasi....as watu wanaishi kwenye stendi za mabasiView attachment 2621311View attachment 2621312View attachment 2621315View attachment 2621316View attachment 2621318View attachment 2621319


Acha utani basi...huwezi linganisha mji wowote huko kusini na Bukoba kwa upande wa makazi....
Westlake street Bukoba
Acha utani basi...huwezi linganisha mji wowote huko kusini na Bukoba kwa upande wa makazi....
Njombe kuna tatizo la kutu kwenye mabati...wapake rangi hayo mabati huoni Bukoba wanapaka rangi nyekundu...
Bakhita neighbourhoods Bukoba View attachment 2621368
[/QUOTEBukoba
Bukoba ni ya ngapi kwenye NBS statistics kwa makazi Bora?