Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Za Utalii , haziwezi kuja huko hakuna Cha maana
Ila mbeya Kuna nini Cha kutalii...acha ushamba train zinaenda dar huko unamzungumzia mbeya ..
Mtalii Gani aje aone nzi hizi
images (14).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mbeya Kuna nini Cha kutalii...acha ushamba train zinaenda dar huko unamzungumzia mbeya ..
Mtalii Gani aje aone nzi hizi View attachment 2621706

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viingi vya kuona kama hivi 👇
tbc_online_1683652115169930.jpg
tbc_online_1683652115169208.jpg
tbc_online_1683652115169437.jpg
tbc_online_1683652115169696.jpg
mazplusfly_tz_1679343042626817.jpg
mazplusfly_tz_167934304262614.jpg
mazplusfly_tz_1679343042626729.jpg


On top of that Safari tuu ya kutoka South Africa Hadi Dar ni Utalii wa kutosha inapitia Miji na hifadhi nyingi..

Sasa huko uswazi train zije kuona nini hasa?
 
Barabara pekee Kuu iliyoba kuifungua Mkoa wa Mbeya ni hii hapa..

Ikikamilika basi Uchumi wa Mkoa hautakamatika
 
Back
Top Bottom