Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Pakeni kwanza hizo nyumba rangi ndo tuongee vzr....mji hauna miti...nyumba zimechoka...yaan mnajisifia soko zuri na stendi nzr lakin mnalala kwenye nyumba zenye kutu!!...
Bora Bukoba watu wanakaa kwenye makazi bora...hizo stendi sijui soko wakiamua watajenga

Baadae tazama takwimu hapo chiniView attachment 2621487View attachment 2621496
Unaponda huku moyoni unausifia mji ulio na standard nzuri.Labda ni kwambie hapo Mjini kati ni sehemu ndogo ya Njombe nenda kwenye government centres like Lunyanywi A,B,C utakutana na coloured roof za kutosha.
 
Leta picha...hakuna mji hapo sio tofauti ya mji huo na muleba au karagwe.bado narudi na hoja ileile mji sio kuwa na fremu, stendi na soko basi...mji lazima uwe na muonekano wa kimji....unajua mtu ukiwa na pesa hata makazi yatakuwa mazuri...yaan mtu uwe na hela halafu unalala nyumba yenye kutu?

Ni juzi tu hapa Chalamila kwa mara ya kwanza ameanza kuwapongeza wahaya kwa kujenga makazi bora akiwashauri waongeze nguvu kwenye vitega uchumi...kila mkuu wa mkoa anakuwaga surprised na makazi ya mkoa huu wa kagera hasa uhayani ingawa takwimu za Per capita zinapafanya paonekane maskini...alisemaga Gaguti, massawe nk...

Hebu Tazama mitaa ya Bukoba...nyumba standard kabisa na hapo sio mjini kati ni kata ya miembeni na kaitaba

Mtaa huu haupo hata top five ya mitaa ya kishua Bukoba...maana bukoba ni mji wa vilima na huko ndo kumejaa nyumba nzr sana kama mlima wa Kashura, nshambya...na the richest ambayo ni nyamkazi...
Screenshot_20230514-144528.jpg
Screenshot_20230514-144708.jpg
Screenshot_20230514-144656.jpg
Screenshot_20230514-144701.jpg
Screenshot_20230514-113551.jpg
 
Leta picha....unajua mtu ukiwa na pesa hata makazi yatakuwa mazuri...yaan mtu uwe na hela halafu unalala nyumba yenye kutu?

Ni juzi tu hapa Chalamila kwa mara ya kwanza ameanza kuwapongeza wahaya kwa kujenga makazi bora akiwashauri waongeze nguvu kwenye vitega uchumi...kila mkuu wa mkoa anakuwaga surprised na makazi ya mkoa huu wa kagera hasa uhayani ingawa takwimu za Per capita zinapafanya paonekane maskini...alisemaga Gaguti, massawe nk...

Hebu Tazama mitaa ya Bukoba...nyumba standard kabisa na hapo sio mjini kati ni kata ya miembeni na kaitaba

Mtaa huu haupo hata top five ya mitaa ya kishua Bukoba...maana bukoba ni mji wa vilima na huko ndo kumejaa nyumba nzr sana kama mlima wa Kashura, nshambya...na the richest ambayo ni nyamkazi...
View attachment 2621536View attachment 2621537View attachment 2621538View attachment 2621540View attachment 2621541
Nafahamu kuwa Njombe ya Leo Bado Iko nyuma ya Bukoba interms of Majengo kwa Njombe ni ya juzi tu lakini kwenye standard hamtushindi
 
Njombe CBDaslimia 70 ni planned,Clean,abandunt.
Kwan Bukoba CBD sio planned?...what I know Downtown Bukoba iko well planned sehemu ambazo hazijawa planned ni maeneo ya huko vilimani...
Hiv njombe kila mtu anaweza park gari mbela ya nyumba yake? Au ndo kuwa na slums..sehemu zinafikika? Hilo kwa Bukoba iko mbali sana kuna mtandao mkubwa wa barabara za lami na bado zinazidi kuongezwa...kila sehemu inafikika.

I think usafi ni pamoja na kupaka nyumba rangi na mapaa kuwa mazr, njombe na miji ya kusini mnafeli pakubwa...

Vip kuhusu mfumo wa maji taka...hiv njombe kuna huo mfumo au mnatumia magari ya kufyonza?
BUKOBA ni moja ya miji michache nchini yenye mfumo wa maji taka haswa kwa CBD yake...

Vip kuhusu mito inayopita katika mji..je imejengewa kingo zake? Bukoba mito mingi imejengewa bado mmoja tu mkubwa utakaojengewa kwenye mradi wa tactic...

Vip.kuhusu recreation parks? Maeneo ya kujidai, kupumzika nk...hiv kuna hata moja huko njombe...

Bukoba mjini kuna parks mbili kubwa...uhuru park maarufu kama mayunga platform na inakarabatiwa upya, kuna pia Bukoba club na beach public zaidi ya 4...

Vip kuhusu sehemu za starehe nikimaanisha nighlife...nightclubs nk au ndo bado mko kwenye vilabu...

Vip kuhusu sports kwa watoto, michezo ya mpira...viwanja vya football, basketball, volleball nk...
Bukoba kuna viwanja vzr viwili vikubwa vya public yaan Kaitaba ambayo ina viwango vya FIFA na kashai..
Bila kusahau viwanja vya basketball vya public kashai, na zamzam

Ok turudi kwenye hoja STANDARD ZIP ZIKO NJOMBE
 
Nafahamu kuwa Njombe ya Leo Bado Iko nyuma ya Bukoba interms of Majengo kwa Njombe ni ya juzi tu lakini kwenye standard hamtushindi
Kashura Bukoba...
Vilima vingi vya mji wa Bukoba vimejemgwa hiv....
DJI_0007.jpg
DJI_0007%20(1).jpg
 
Masihara gani Sasa hapo ujenzi ni km 6 ,wewe ulitaka iwe bei gani Kwa hizo km?
Hivyo sio vitu vya kutangaza...mambo madogo sana hayo....

Hebu google mujungi Road...inayounganisha vijiji vya kamachumu, nshamba, kishanda na muleba huko ni zaidi ya km 52 za lami...na ilikamilika 2020 huko.....
 
Iko wapi? Unajua hiyo Barabara inaenda wapi? Unaujua mradi wa visima wa gas asilia ya Nkejo wewe?
 
Back
Top Bottom