ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,171
- 88,125
- Thread starter
- #16,121
Walidanganywaje? Mkandarasi ameumaliza ujenzi wa Kambi Iwambi na anaendelea na mobilisation maana ana miezi 3 ya mobilisation Sasa sijui wewe unaongea nini hasa?Mwambie makame mbarawa...
masikini walidanganywa na tulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app