Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Mara 100 Mbeya kuliko uchafu wa Mwanza 🤣🤣What about this
Jiji limejaa nzi Kila sehemu View attachment 2620782View attachment 2620783
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtindio wa ubongo ni kawaida yako.Mara 100 Mbeya kuliko uchafu wa Mwanza![]()




Mbeya ndo jiji pekee ikifika saa mbili usiku kama unakaa Mbalizi unatakiwa usionekane maeneo ya kuanzia Iyunga kwenda hadi Meta na mjini na kwenda Mafiati hadi Uyole labda kama una usafiri wako binafsi.What about this
Jiji limejaa nzi Kila sehemu View attachment 2620782View attachment 2620783
Sent using Jamii Forums mobile app
Juu lami ya kawaida chini Zege limesimama
Barabara ni nzuri
Penye uzuri tunasifia....barabara iko poa
Hapo pana mvutano njombe wameshituka wenzao wamesha onyesha eneo hati imerudi ko kinachosubiriwa ujenzi njombe tc ndo wanashituka kuanza kutangaza eneo ngoja tuangalie movie itaishia wap Ila najua wataelewana tu na ujenzi soon utaanza
Ujenzi wa chuo kikuu Bukoba.....from juni 1 ujenzi unaanza....
NB. SIJAPENDA DESIGN YA MAJENGO....DESIGN YA KIZAMANI KABISAView attachment 2620878View attachment 2620879View attachment 2620880View attachment 2620881
Design ya majengo ya kikomunistiUjenzi wa chuo kikuu Bukoba.....from juni 1 ujenzi unaanza....
NB. SIJAPENDA DESIGN YA MAJENGO....DESIGN YA KIZAMANI KABISAView attachment 2620878View attachment 2620879View attachment 2620880View attachment 2620881
Sio lami ya kawaida Bali inaitwa super pave ni daraja la Juu la asphalt concreteJuu lami ya kawaida chini Zege limesimama
Wameangalia gharama nafuuUjenzi wa chuo kikuu Bukoba.....from juni 1 ujenzi unaanza....
NB. SIJAPENDA DESIGN YA MAJENGO....DESIGN YA KIZAMANI KABISAView attachment 2620878View attachment 2620879View attachment 2620880View attachment 2620881
Acha uongo,daladala na bajaji zipo Hadi saa 4 usiku japo zinakuwa zimepungua sana na sababu kubwa ni Mji uko gizani watu wanakosa incentives za kufanya biashara Hadi usiku.Mbeya ndo jiji pekee ikifika saa mbili usiku kama unakaa Mbalizi unatakiwa usionekane maeneo ya kuanzia Iyunga kwenda hadi Meta na mjini na kwenda Mafiati hadi Uyole labda kama una usafiri wako binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unaona hata aibu Sasa hapo Kuna nini Cha maana zaidi ya ujenzi holela kwenye eneo zuri kama Hilo?Mtindio wa ubongo ni kawaida yako.
MwanzaView attachment 2620799
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi vitu mbeya mtabaki kuviona kwenye kideo tuUwe unaona hata aibu Sasa hapo Kuna nini Cha maana zaidi ya ujenzi holela kwenye eneo zuri kama Hilo?View attachment 2620957
Hakuna tofauti na hapo Ukerewe







Mwaka wa ngapi huu unaposti huo upuuzi wako?Hvi vitu mbeya mtabaki kuviona kwenye kideo tu
View attachment 2621029
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie makame mbarawa...Mwaka wa ngapi huu unaposti huo upuuzi wako?



