Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Just facts

Sio excuses

Huyo Mbeya Express bado anakuja Mwanza?

Au na ww unataka kuwa kama yule mwamba anakazana Kilimanjaro Express bado anaenda Mbeya na Tunduma

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Kwan mm nimesema ni 3by2

Kuwa 2by2 sio shida hata Ahmeed ni 2by2 na zina siti nzuri kuliko za Mega

Kumbuka hata TATA starbus ni 2by2 vipi nazo ni VIP

Braza Mbeya Tanga, Mbeya Arusha, Mbeya Mwanza hamna VIP

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Ujenzi wa barabara za lami ..mitaani ... manispaa ya ilemela
IMG-20230426-WA0004.jpg
IMG-20230426-WA0005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom