Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Vyako Vipya viko wapi? 😂😂
20230427_104406.jpg
20230427_104436.jpg
20230427_104454.jpg
20230427_104116.jpg
20230409_152320.jpg
20230409_152744.jpg
 
Wewe nilishawahi kukuambia na narudia tena kwamba Mabasi yote yanayotoka Mbeya kwenda Mkoani ni VIP Class kuanzia Tanga Hadi Mwanza..

Lake Zone VIP mumeanza kupata mwaka,huko kote Mbeya ilishapita zamani..

Dom-Mbeya sio VIP tena Bali ni VVIP ya Shabiby
Kwamba zile Mbeya ni VIP
Ile gari ya Mbeya Moshi via Chalinze ni VIP?
Hizo Arusha Express na Hajis za Mbeya Arusha ni VIP

Kama n hvo basi you still have a way long to go

Hata mshukuru ABC na Shabiby kuwaletea gari zenye choo

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Sio zote ila Miongoni mwao ni VIP

Back
Top Bottom