Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tunasubiria Barabara ya Makongongolosi kwenda Tabora/Singida ifunguke hiyo itavutia VIP za kuzidi maana Ina mlima mmja tuu na Itapunguza umbali wa Kupitia Mtera
Tabora makongorosi
20230422_001845.jpg
20230421_223247.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya wepesiwa mawasiliano ya Ofisi Mpanda Ili niwacheck Kwa booking ya Siku nayotaka maana Huwa napenda front seat niwe napiga picha ya mabanda yale si unajua
Itakuwa vizuri sana ..na kiherehere Cha kulinganisha mwanza na mazizi yako kitaisha ....note :usiondoke mwanza bila kufika haya maeneo
isamilo
Capripoint
Ilemela malaika beach
Nyasaka
Ghana
buswelu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa vizuri sana ..na kiherehere Cha kulinganisha mwanza na mazizi yako kitaisha ....note :usiondoke mwanza bila kufika haya maeneo
isamilo
Capripoint
Ilemela malaika beach
Nyasaka
Ghana
buswelu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote nayafahamu nataka kufika maeneo ambayo sijawahi kanyaga kama Magufuli Bridge
 
Itakuwa vizuri sana ..na kiherehere Cha kulinganisha mwanza na mazizi yako kitaisha ....note :usiondoke mwanza bila kufika haya maeneo
isamilo
Capripoint
Ilemela malaika beach
Nyasaka
Ghana
buswelu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asisahau kutembelea stand zote kuu

Nyamhongolo na nyegezi

Pia soko kuu na JPM bridge
 
Ili ufike nyasaka unapaswa upite barabara gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Broo mitaa ya vichochoroni siifahamu wewe niulize Ghana na Ilemela Beach ipo njia ya Airport,Capri point ni huko BoT iliko,Huko kwingine ni njia ya Igoma/Musoma Road.

Kwanza hapo Malaika Beach kama bei ya chumba inazidi 50,000 Sina Mpango hata wa kwenda ,wewe nitajie Malaya wa bei ya kati wanapopatikana basi 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom