Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

We wa ajabu kweli kahama nayo ni kama huko kusini wamechukua eneo kubwa kuongeza idadi ya watu ila population density kwa bukoba ni hovyo, miji gani mmejaza vichaka. Bukoba ikiongeza eneo liwe kubwa kama miji yenu hiyo hakuna wa kusogelea. Kuna kata nyingi ziko bukoba dc zimeungana na bukoba Mc

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Bukoba ni mji au kata mji gani area yake sawa na kata jifunze jiji la dodoma
EcfKWlqWAAExAiA.jpg
 
We wa ajabu kweli kahama nayo ni kama huko kusini wamechukua eneo kubwa kuongeza idadi ya watu ila population density kwa bukoba ni hovyo, miji gani mmejaza vichaka. Bukoba ikiongeza eneo liwe kubwa kama miji yenu hiyo hakuna wa kusogelea. Kuna kata nyingi ziko bukoba dc zimeungana na bukoba Mc

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Wap hakupo hivyo mzee ukija makambako nayo imeungana na kata kibao makazi na njombe dc na Wangingombe eneo lenu limezwa na ziwa na milima ko Kuya fikia hayo maeneo mengine ni ndoto
 
NNa

Narudia Tena eneo hili kamwe bukoba Yako hawezi kuja kulizidi tuna chukulia centre ya makambako kutoka makambako hadi wangama mtwango km30 makambako hadi ilembula km 30 ,makambako igwachanya km42 makambako saja km 20 a hizo kupitia main road za songea road ,mbeya road na iringa road full makazi View attachment 2597700
Hebu acha ujinga...

Huwezi linganisha Municipality ya Bukoba na vimji slums zenu uchwara vya huko kusini...sijui njombe, makambako, tunduma zote hizo ni slums tu hakuna lolote..

Hebu tafuta definition ya mji na uelewe maana ya mji...mji sio kuwa na vijumba na watu tu mji ni kuwa na recreation parks, well organized city centre, transport facilities, financials nk hayo mambo Bukoba inayo ( isipokuwa stendi nzr)ndo maana imekuwa mji kabla ya uhuru na manispaa kitambo sana...
 
Wap hakupo hivyo mzee ukija makambako nayo imeungana na kata kibao makazi na njombe dc na Wangingombe eneo lenu limezwa na ziwa na milima ko Kuya fikia hayo maeneo mengine ni ndoto
Bro Kwan jombe ni manispaa?
 
Haya ukichukua bukoba mc Ina 144000 plus bukoba dc Ina 322000 sawa na laki nne plus Sasa inatofauti gani na population iliyopo zone ya makambako au ya kahama mc
 
MaNIspaa mchosho kata tu hiyo
Hebu acha ujinga...

Huwezi linganisha Municipality ya Bukoba na vimji slums zenu uchwara vya huko kusini...sijui njombe, makambako, tunduma zote hizo ni slums tu hakuna lolote..

Hebu tafuta definition ya mji na uelewe maana ya mji...mji sio kuwa na vijumba na watu tu mji ni kuwa na recreation parks, well organized city centre, transport facilities, financials nk hayo mambo Bukoba inayo ( isipokuwa stendi nzr)ndo maana imekuwa mji kabla ya uhuru na manispaa kitambo sana...
 
Haya ukichukua bukoba mc Ina 144000 plus bukoba dc Ina 322000 sawa na laki nne plus Sasa inatofauti gani na population iliyopo zone ya makambako au ya kahama mc
Na ndo nachokataa kuchukua eneo lote hilo lenye mapori ukaita mji, la sivyo na sisi tuunganishe bukoba Mc na dc tuite ni mji mkubwa kwa kigezo cha watu

Kama mji una future unahitaji kufanya hivyo Kwan ardhi haiongezeki ila watu wanaongezeka Na hili limefanyika jiji la dodoma Wana km 2700 plus za mraba Na ukiangalia master plan Yao Kila zone Kuna project zake na hii inatoka na na jiografia ya maeneo hayo yalivo kaa mengine huwezi kuiunganisha kutokana na milima misitu umbali ko yanayowezekana kuunganishwa ni bora zaidi mfano makambako zone ,kahama Kuna mbeya ,tunduma haya maeneo yanauwezo wa kuungana Kwan makaz yanaingiliana mfano mbeya na mbalizi
EcfKWlqWAAExAiA.jpg
 
Kama mji una future unahitaji kufanya hivyo Kwan ardhi haiongezeki ila watu wanaongezeka Na hili limefanyika jiji la dodoma Wana km 2700 plus za mraba Na ukiangalia master plan Yao Kila zone Kuna project zake na hii inatoka na na jiografia ya maeneo hayo yalivo kaa mengine huwezi kuiunganisha kutokana na milima misitu umbali ko yanayowezekana kuunganishwa ni bora zaidi mfano makambako zone ,kahama Kuna mbeya ,tunduma haya maeneo yanauwezo wa kuungana Kwan makaz yanaingiliana mfano mbeya na mbalizi View attachment 2597875
Sio future bali ni Sera kwa miji inayopangwa sasa hivi tofauti na miji ya zamani, mfano angalia mji wa moshi au mwanza sasa hivi wanahangaika kuichukua kisesa kama ambavyo bukoba imeanza mipango ya kuichukua tarafa moja kutoka bukoba dc

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Got it!

This website uses cookies and third-party services. Show Privacy Policy

CITY POPULATION – statistics, maps & charts
HomeIndexSearchNewHelp

Home → Africa → Tanzania → Administrative Division

DODOMA MUNICIPAL
Municipality in Tanzania

Population
The population development of Dodoma Municipal as well as related information and services (Wikipedia, Google, images).

Name Population
Census
1988-08-27 Population
Census
2002-08-01 Population
Census
2012-08-26
Dodoma Municipal 202,665 322,811 410,956
Dodoma Municipal
410,956 Population [2012] – Census
2,608 km² Area
157.6/km² Population Density [2012]
2.4% Annual Population Change [2002 → 2012]
Dodoma Urban District: district in Dodoma Region, Tanzania
MapChartWikipediaGoogle SearchImage SearchHotelsRestaurantsShopsSights

Tanzania 23,174,336 34,443,603 44,928,923
Source: National Bureau of Statistics Tanzania (web).

Explanation: Area figures of districts are calculated from geospatial data.

Further information about the population structure:
Gender Persons
Males 199,487
Females 211,469

Gender (C 2012)
Males 199,487
Females 211,469

Urbanization Persons
Rural 197,320
Urban 213,636

Urbanization (C 2012)
Rural 197,320
Urban 213,636

Age Groups Persons
0-14 years 154,473
15-64 years 239,171
65+ years 17,312

Age Groups (C 2012)
0-14 years 154,473
15-64 years 239,171
65+ years 17,312

Age Distribution Persons
0-9 years 106,648
10-19 years 94,250
20-29 years 80,324
30-39 years 51,523
40-49 years 33,255
50-59 years 20,452
60-69 years 12,185
70-79 years 7,494
80+ years 4,825

Age Distribution (C 2012)
0-9 years 106,648
10-19 years 94,250
20-29 years 80,324
30-39 years 51,523
40-49 years 33,255
50-59 years 20,452
60-69 years 12,185
70-79 years 7,494
80+ years 4,825
See also:
Dodoma Municipal municipality - with wards
Located in:
Dodoma region
HomeTerms of useMailSettingsYouTubeFacebookTwitter

© Thomas Brinkhoff, 2019-09-28

Google Translate

ORIGINAL TEXT

Contribute a better translation

Sio future bali ni Sera kwa miji inayopangwa sasa hivi tofauti na miji ya zamani, mfano angalia mji wa moshi au mwanza sasa hivi wanahangaika kuichukua kisesa kama ambavyo bukoba imeanza mipango ya kuichukua tarafa moja kutoka bukoba dc

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app

Kama ni sera ipo vizuri ila Kuna baadhi ya miji itagoma kutokana na jiografia yake ila yenye tambalale inawezekana
 
Sio future bali ni Sera kwa miji inayopangwa sasa hivi tofauti na miji ya zamani, mfano angalia mji wa moshi au mwanza sasa hivi wanahangaika kuichukua kisesa kama ambavyo bukoba imeanza mipango ya kuichukua tarafa moja kutoka bukoba dc

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hakika, kwa sasa Mwanza hamna maeneo ukisikia mtu amenunua kiwanja ujue ni huko Magu au Misungwi, jiji la mwanza tuna uhaba wa maeneo.
 
Hospital ya inuka inafanya kazi sawa na CCBRT ipo km 25 kutoka katikati ya mji wa makambako inaendelea kufungwa vifaa vya kisasa
FB_IMG_16822705577676256.jpg
FB_IMG_16823301948067169.jpg
FB_IMG_16823300747774611.jpg
FB_IMG_16823300538547794.jpg
fb_img_16823302039922127-jpg.2598046
FB_IMG_16823250543260862.jpg
FB_IMG_16823250452766460.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16823302730236184.jpg
    FB_IMG_16823302730236184.jpg
    20.4 KB · Views: 10
  • FB_IMG_16823302039922127.jpg
    FB_IMG_16823302039922127.jpg
    31.7 KB · Views: 20
Back
Top Bottom