Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Update daraja la taifa . asilimia 71
JamiiForums-1134303932.jpg
JamiiForums670859953.jpg
JamiiForums-1599982374.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusini hamna aibu mnachukua mapori mnaita miji

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Yan umenifanya niifatilie vizuri bukoba Yani ukichukua bukobaMc jumlisha bukoba dc hamwezi kuzifikia hata tarafa nne zilizopo makambako zone kwa ukubwa na zipo well organised na ukuaji wake ni wakasi Sana zaidi ya nusu ya population ya mkoa wa njombe ipo hapo
IMG-20230416-WA0004~2.jpg
 
Ila kusini mna matatizo mapori eti ndo miji, imagine Bukoba manispaa unganisha na bukoba rural bado haziingii kwa njombe mji. View attachment 2597518View attachment 2597519View attachment 2597521

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Mbona area ya dodoma huja sema ,bado ya kahama mc Kuna halmashauri nyingi Zina maeneo makubwa ila ya kwanza ni njombe tc sema njombe tc wanavogawa walichukua Jimbo Zima la njombe kusini lililokuwa linaongozwa na Anna makinda alafu yakabaki majimbo ya njombe magharibi na njombe kaskazini haya majimbo ya njombe Kaskazini na njombe magharibi ukiyajumuisha pamoja ndo unapata area njombe tc ambayo kwa Sasa wamegawa halmashauri tatu wangingombe ,njombe dc alimaarufu lupembe na makambako na bado Kuna km za mraba zime chukuliwa na pori la akiba mpanga kipengere ko wanaeneo ambalo ni dogo kulinganisha na njombe tc hii zone ya makambako tc ila ndo nyumba Zina tapakaa tofauti na zone ya njombe mashamba ni mengi pia makete na ludewa milima na miti imetawala na ndiko Kuna eneo kubwa la mkoa HiYo ni historia fupi tu
 
Yan umenifanya niifatilie vizuri bukoba Yani ukichukua bukobaMc jumlisha bukoba dc hamwezi kuzifikia hata tarafa nne zilizopo makambako zone kwa ukubwa na zipo well organised na ukuaji wake ni wakasi Sana zaidi ya nusu ya population ya mkoa wa njombe ipo hapoView attachment 2597609
Well organized labda ya vichaka, ukianzia muleba to bukoba (km 80) then bukoba to mtukula (km 80) ni makazi tu tena ya maana lakini hatulingi

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
NNa
Well organized labda ya vichaka, ukianzia muleba to bukoba (km 80) then bukoba to mtukula (km 80) ni makazi tu tena ya maana lakini hatulingi

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Narudia Tena eneo hili kamwe bukoba Yako hawezi kuja kulizidi tuna chukulia centre ya makambako kutoka makambako hadi wangama mtwango km30 makambako hadi ilembula km 30 ,makambako igwachanya km42 makambako saja km 20 a hizo kupitia main road za songea road ,mbeya road na iringa road full makazi
IMG-20230416-WA0004~2.jpg
 
Unahangaika kahama mc yenyewe imewakalisha mara Ohio ikitoka mwanza bukoba inafuata kumbe Kanda ya ziwa ndo wa mwisho
 
Unahangaika kahama mc yenyewe imewakalisha mara Ohio ikitoka mwanza bukoba inafuata kumbe Kanda ya ziwa ndo wa mwisho
We wa ajabu kweli kahama nayo ni kama huko kusini wamechukua eneo kubwa kuongeza idadi ya watu ila population density kwa bukoba ni hovyo, miji gani mmejaza vichaka. Bukoba ikiongeza eneo liwe kubwa kama miji yenu hiyo hakuna wa kusogelea. Kuna kata nyingi ziko bukoba dc zimeungana na bukoba Mc

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom