Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kitombile
Ingekuwa Mwanza ungeita Hotel 🤣🤣

Maranatha Hospital Mbeya
banjo_moulding_decoration_1682330366348667.jpg
banjo_moulding_decoration_1682329800102982.jpg
banjo_moulding_decoration_168232980010241.jpg
banjo_moulding_decoration_1682329800102660.jpg
banjo_moulding_decoration_1682329800102381.jpg
banjo_moulding_decoration_1682329800102798.jpg
 
Hakika, kwa sasa Mwanza hamna maeneo ukisikia mtu amenunua kiwanja ujue ni huko Magu au Misungwi, jiji la mwanza tuna uhaba wa maeneo.
Sasa hatuna maeneo na tulihaidiwa kupewa manispaa mpya ili kutanua maeneo lakini mpaka sasa naona kimya.
Jiji la mwanza linahitaji kutanuliwa maeneo maana linakua kwa kasi tofauti na huko kwingine

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ndio madhara ya kujenga mabanda mnayoita dream houses na kuzaa hovyo haya Sasa 😁😁
 
Haya mambo ndo tunayahitaji kwenye miji yetu....plaza, malls, supermarkets, airbnb nk...


Sio kujenga slums na kuita miji kama huko njombe...makambako na tunduma...

Tazama Tunduma hapo chini...ni slums tupu...nyumba kama vibanda vya kuku...hata kwemye comments watu wanaona slums tupu


Nyumba za Tunduma ni nzuri ila zimejengwa kiholela humo.milimani,hakuna maskini wa Mwanza anaweza miliki nyumba kama hiyo.
 
Back
Top Bottom